Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Hapo vip!!
Mama Tibaijuka binafsi mimi sio mtu ambaye napenda sana kufuatiliaaga mambo yako wala kukufahamu sana ila leo nashangaa nimeota ndoto juu yako.
Nimeota like kama umetengenezewa kesi na watu wasio kupenda na nikesi ya uwongo,ila nikawa nimesikia watu pembeni wakisema kwenye hiyo kesi hachomoki na wakati wanaongea hivyo nikakuona kwa mbali ukiwa unatembea.
Ndoto inaweza kuwa na tafsiri tofauti na nilivyoiyota inawezakana kuna maadui wanataka kukudhuru kwa njia fulani hivi au nikweli ukaja kutengenezewa kesi fulani hivi.
Sasa nilichohisi kwenye ndoto ile ni kwamba kwanza Mungu anaonekana yupo upande wako na yupo tayari kukupigania.
Mama yangu sikufahamu vizuri na mimi sio mtu wa dini,ni mtu wa kawaida tu ila nakushuri uwe makini sana wakati huu.