Mama wa mtoto wangu hataki nimnunulie nguo mwanangu

Duuuuuuuuu. Sio kwamba hajui kuchagua nguo bali ananunua za bei poa.
Trust me.
 
Kuna sehemu kaandika mzazi mwenzie hivi sasa kashaolewa na mwanaume mwingine.

Hapo ni rahisi sana kwake kumchukua mtoto, kama atakuwa hakimbii majukumu ya malezi
 
Mmekutana pipa na mfuniko
 
Anakutengenezea mazingira baadae wewe uonekane huna msaada wowote kwa mwanao sababu hajawahi shuhudia chochote toka kwako.

Hiyo ni vita ya kisaikolojia hiyo unapigwa.
 
We nae mkuu acha kulalamika,, Tuma boda apeleke na sio lazima aagize yeye mtu akachukue...

Pili huenda anataka hela ili labda awanunulie na watoto wake(Yaani wafanane) so ukinunua wewe mtoto wako atakuwa tofauti na watoto wake so anataka ku balance..

kama na yeye ana watoto basi huenda anataka wafanane,, ili wajisikie vizuri wasibaguane,...sio Mwanao ananunuliwa Begi,,wenzake hawana,, analetewa nguo,,wenzake hawana.

Ni malezi tu PLUS combination ya Njaa ndio inaleta yote hayo....

Tafakari | Chukua hatua
 
Sasa Bima ya Afya nayo haitaki
 
Amesoma Hadi darasa la ngapi?
Yawezekana uwezo wake wa kuchanganua mambo mdogo au anataka hizo pesa nae awe anapata na wewe jiongeze.
Kwani yeye huwa humpi hata kidogo Kama mlezi?
Uwe unampa kaujira kidogo kulea kazi wewe baba wa mtoto litambue hilo
 
Kwani huyo mume mwenzio akinunua chakula pale nyumbani na matumizi mengine ambayo mwanao pia anayapata huwa anamtenga mwanao?
Acha roho mbaya ukute huyo mama anataka alee watoto kiusawa hivyo hiyo pesa anaweza share na wale wengine
 
Pole sana kwa kuzaa na mwanamke mpumbavu.
 
Hapana Mimi napenda mtoto wangu akivaa aoneka anatoka kwenye nchi ya dunia ya Kwanza kwa mabeberu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndiyo shida inapoanzia na mama mtoto wako, akionekana kama wa mabeberu ndiyo muonekano gani huo? anaona una matumizi mabaya bora anunue yeye bei simple pesa nyingine amnunulie vitu vingine dogo🤔
 
Kama ameshaolewa ndio usimpe motivation ya kukulelea mtoto wenu pia?
Acha ubahili bwashee
Mimi siyo bahili tatizo yeye ana taka kunipagia utaratibu Mimi niufate yani Mimi nifanye vitu ana vyo vitaka yeye mfano yeye ana taka nisinunue kitu chochote cha mtoto niwe nampa pesa yeye ndo anunue Jambo jingine ni muongo siyo mkweli ana danganya sehem anayo ishi
 
Hapa ndiyo shida inapoanzia na mama mtoto wako, akionekana kama wa mabeberu ndiyo muonekano gani huo? anaona una matumizi mabaya bora anunue yeye bei simple pesa nyingine amnunulie vitu vingine dogo[emoji848]
Yeye hajui kunuua nguo nzur yani ana nunuaa nguo kubwa mwishoe ana zipeleka kuzipunguza kwa fundi
 
Kwani huyo mume mwenzio akinunua chakula pale nyumbani na matumizi mengine ambayo mwanao pia anayapata huwa anamtenga mwanao?
Acha roho mbaya ukute huyo mama anataka alee watoto kiusawa hivyo hiyo pesa anaweza share na wale wengine
Kama ana taka kulea kwa usawa Mimi mwangu atakuwa haja tendewa haki mtoto wangu kuna vitu ata vikosa yeye alisema kwa wazaz wangu simgaii pesa kama zamani Mama akamjib sasa hivi umeshaolewa na mwanaume wako unaishi nae mtoto wangu hawez kuku hudumua kama mke wake, mim na paga bajet ya mwanangu Mimi sipagi bajet kwaajir ya yeye na mume wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…