Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

Maadili ni kitu adimu sana, na ni kitu subjective sio Kila mtu ataweza kuwa na msingi wa maadili kama hivyo.Simamia unachokiamini.
 
Huu uzi ufutwe tu halafu upigwe ban!
Mkuu, hii inaweza kuonekana rahisi na wengi wataninyooshea vidole lwa kushindwa kupiga. Lakini tatizo lipo kwenye urafiki wetu. Endapo nitazitii hisia naweza kutengeneza uadui mkubwa sana. Wa kujutia nitabaki kuwa mimi kwakuwa ndio nitakuwa source
 
Mkuu, hii inaweza kuonekana rahisi na wengi wataninyooshea vidole lwa kushindwa kupiga. Lakini tatizo lipo kwenye urafiki wetu. Endapo nitazitii hisia naweza kutengeneza uadui mkubwa sana. Wa kujutia nitabaki kuwa mimi kwakuwa nfio nitakuwa source
Mimi sijakushauli utembee nae ila unafahamu kabisa kuwa hutakiwi kutembea nae sasa kwanini unatuuliza!, umeandika waje wenye ushauri wa busara na wakati unajua kwa kutumia busara nini ufate!. hivyo nasema wewe ni zwazwa maana unajua nini chakufata na ningekuwa mimi ndo moderator ban ungekula ya wiki tatu na masaa sita halafu nauzi naufuta!.
 
Wakuu habari zenu.

Baada ya kuwa nje kwa muda kidogo, nilipata bahati yalikizo kurudi nyumbani kwaajili ya sherehe za X-mass na mwaka mpya. Nilirudi nyumbani tarehe 10 mwezi ulioisha nakumbuka. Mambo yalienda poa, nikawa nimepanga nitatembelea jamaa na marafiki baada ya Christmas ili kuwajulia hali kwa kuwa wengi wao nina muda mrefu sana sijaonana nao.

Baada ya Christmas, siku ya boxing day niliona nianze kwa kwenda kumsalimu mama wa rafiki yangu, ambae kwangu pia ni kama mama kwa kuwa kipindi cha nyuma nilikuwa nikienda pale pamoja na mwanae na anatambua harakati zetu pia. Hata kipindi napatwa changamoto ya kimahusiano na mke wangu tulieachana, kuna mawili matatu alinipa ili kunitia moyo.

Nilienda kwake huku nikijua fika rafiki yangu hayupo mkoa huu, niliwasiliana nae na nilikwishamwambia kuwa nitaenda kwa ajili ya kumsalimu mama.

Kweli nilifika, tukawa tumesalimiana na kujuliana hali na habari za siku ambazo hatukuwa tumeonana, ni muda mrefu sana. Tuliongea mengi sana. Ni mwanamke mjane, nilimkuta akiwa mwenyewe na mfanya kazi kwa kuwa baadhi ya vijana wake wapo safari pia kwa ajili ya sherehe na mambo yao mengine. Yule mfanyakazi nilikuja kujua halali pale, baada ya kazi zake jioni huondoka. Kiuchumi ni mama ambae hayuko vibaya.

Tulikaa hadi jioni, majira kama saa 12:30 yule mtu wa kazi akawa ameaga na kuondoka. Baada ya kutoka, mama aliniuliza kinywaji kipi nitatumia mbali na juice ambayo nilikuwa nikinywa muda wote wa maongezi, nikamwambia najihisi niko sawa, na Kwa kuwa muda nao pia ulikuwa umesogea nikawa naomba kuondoka. Aliniambia subiri akawa ametoka kidogo, ila mazingira ya maongezi safari hii nikawa naona yapo tofauti na ilivyokuwa kipindi ambacho mfanyakazi yule yule alikuwepo. Hofu ikaanza kunitanda. Alirudi na bia, akawa kanikaribisha na kuniambia kwanini nisifanye mpango wa kulala tu, maana pale ni kama nyumbani, nitie baraka pia. Nikamwambia mama, nashukuru kwa leo, nadhani siku nyingine nitafanya hivyo kwa kuwa leo sikuwa na ratiba ya kulala sehemu yoyote.

Huwa nakunywa pombe occasionally, ila sikutaka kufanya hivyo tena nikiwa na mtu ambae ni Mama wa rafiki yangu tunaeheshimiana, Muda huo yeye akiwa alishaanza kunywa polepole. Baada ya muda story zikaanza kuwa nyingi nadhani zilikuwa zishaanza kukolea, akigusia suala la upweke wake tangu mumewe afariki. Taa nyekundu ikaanza kuwaka kichwani kwangu, iweje mama yule aeleze mambo kama hayo kwangu? Nikajipa faraja tu kuwa huenda kaanza kulewa. Kibaya zaidi ni alipoanza kunisifu kuwa nimeshakuwa sasa na mambo mengi nayajua na kuniuliza kama nilioa tena baada ya kuachana na wife. Ikabidi niage kabla mambo hayajaharibika.

Alinisihi kubaki kwa usiku huo, inaelekea saa 3 sasa ila nilikataa kabisa. Basi akawa kaniomba namba nikawa nimempatia kwakuwa hakuwa nazo, nikaondoka.

Tangu nilipompa namba, usiku wa siku hiyo mambo ndipo yalipoanzia. Alinipigia simu usiku ule na tuliongea sana akawa anajifanya kuniomba msamaha kwa kuniletea pombe ila nikamwambia asijali, story kibao za kilevi ila mambo deep sana nikakata simu. Akawa anapiga ila nilipuuza simu zake na sms. Siku iliyofuata mambo yakaenda hivyohivyo, ikawa ni simu ikawa ni sms hadi usiku mnene ni kupiga tu. Sijui ujasiri kaupata wapi.

Siku ya mkesha wa mwaka mpya alinitafuta pia tukaongea na aliniambia kama sitojali nikamtembelee asiwe peke yake. Ni kama nilishaanza kuzoea sasa maongezi yake, ila nilikataa. Alilalamika na kusema, kwa umri nilio nao alitegemea ningeweza kung'amua kila anachojaribu kufanya lakini kwanini nakuwa kama mtoto? Anadai anajihisi aibu na anashindwa kuinua sura yake kwa kuwa mambo yameenda kinyume na alivyofikiri ingekuwa. Kafanya hivyo sababu ya hisia zake tu nae, alihitaji mtu wa kumliwaza sababu ya upweke, kahisi mimi naweza kuwa sahihi kwake kumsaidia juu ya hilo na ninaweza kutunza siri ndio maana kanieleza... Sasa anahisi aibu, atanitazama vipi, ni kama kajidhalilisha. Anaongea kwa uchungu sana hadi roho inaniuma.

Jana kaniambia niseme hata wapi twende, mbali kidogo walau tuongee huenda nitamwelewa, kama hilo litanishinda basi tuangalie namna ya kurudisha hali ya mwanzo kabla ya haya yote. She's 51 now na mwonekano wake ni mzuri kwa kuwa maisha yako poa kwake. Ni mama wa kimjini mjini na ni aliwahi tu kuolewa.

Ushauri wa busara, nini nifanye? Nivunje line husika au? I feel sad mwanae nawasiliana nae and he's my best friend. How can I do that? What if he'll get to know what's going on?

Mafisi mkae mbali na huu uzi, nahitaji watu wenye busara
Shule zimefungwa.
 
Nitaleta mrejesho nikienda kukutana nae
Jitahidi kumfanya asijisikie vibaya na asione hatia kwa alichofanya hata kama humtaki
 
Back
Top Bottom