Mama wa rafiki yangu changamoto

Mama wa rafiki yangu changamoto

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
3,580
Reaction score
7,203
Niende moja kwa moja kwenye mada, kifupi mie nakaa Jiji la mzee Amos makalla na nimebahatika kupata kibanda sasa hapa mtaani. Kuna bi mkubwa flani ambae mwanae wa pili licha ya mie kumzidi umri sana ila ndio mshikaji, maana hiyo mwanae ni mtu wa mambo ya mipira na mie napenda mpira na huwa naungana nae kiwanjani kucheza.

Ila bimkubwa wake amekuwa amekuwa na pigo sio maana kuna watu zaidi ya watu wameniambia bimkubwa hiyo anasambaza habali kuwa mie namkula yeye mwanae hajawahi kuniambia japo nahisi atakuwa anajua.

Sasa leo jana nimeenda kuangalia mechi ya FA kati ya Liver na Wolves kwenye baa flan jirani nimemkuta yule mama ameshawaka, nikampa heshima yake akapotezea baadae baadae kaniganda nimsindikize nyumbani huku hata game ya liver haijaisha, nikakataa. Mwanae ambae mshikaji yeye hakuja kuangalia game kwa sababalu aliachiwa nyumba.

Sasa nikasema nimsindikize faster nirudi nimalizie game, matokeo yake tumefika njiani kanichinjia kuwa mie najifanya mtoto wakati mtu mzima. Yeye amekuwa akinielewa siku nyingi hivyo akataka nicheze cowbell our milk na nimuweke walau mzunguko mmoja vinginevyo atanizingua kwa kupiga kelele kuwa nataka kumrape na akayatoa kabisa mamilk.

Nilichofanya ni kutoka mbio mpk getho kwangu ila nimekaa najiuliza kwanini hawa wamama wanakosa ustaarabu? Huyu mama kanizidi over 10 years leo analazimisha penzi kwangu, he wa umri wake hawaoni? Na kwanini kaamua kunisambazia uzushi kuwa mie namkula yeye wakati sio kweli? Mpaka sasa sielewi hasa lengo lake nini!
 
Niende moja kwa moja kwenye mada kifupi mie nakaa Jiji la mzee Amos makalla na nimebahatika kupata kibanda sasa hapa mtaani kuna bimkubwa flani ambae ambae mwanae wa pili licha ya mie kumzidi umri sana ila ndio mshikaji maana hiyo mwanae ni mtu wa mambo ya mipira na mie napenda mpira na huwa naungana nae kiwanjani kucheza ila bimkubwa wake amekuwa amekuwa na pigo sio maana kuna watu zaidi ya watu wameniambia bimkubwa hiyo anasambaza habali kuwa mie namkula yeye mwanae hajawahi kuniambia japo nahisi atakuwa anajua . Sasa leo jana nimeenda kuangalia mechi ya FA kati ya liver na wolves kwenye baa flan jirani nimemkuta yule mama ameshawaka nikampa heshima yake akapotezea baadae baadae kaniganda nimsindikize nyumbani huku hata game ya liver haijaisha nikakataa mwanae ambae mshikaji yeye hakuja kuangalia game kwa sababalu aliachiwa nyumba . Sasa nikasema nimsindikize faster nirudi nimalizie game matokeo yake tumefika njiani kanichinjia kuwa mie najifanya mtoto wakati mtu mzima yeye amekuwa akinielewa siku nyingi hivyo akataka nicheze cowbell our milk na nimuweke walau mzunguko mmoja vinginevyo atanizingua kwa kupiga kelele kuwa nataka kumrape na akayatoa kabisa mamilk nilichofanya ni kutoka mbio mpk getho kwangu ila nimekaa najiuliza kwanini hawa wamama wanakosa ustaarabu huyu mama kanizidi over 10 years leo analazimisha penzi kwangu he wa umri wake hawaoni? Na kwanini kaamua kunisambazia uzushi kuwa mie namkula yeye wakati sio kweli mpaka sasa sielewi hasa lengo lake nini .
Hiyo inaitwa rural-urban acitement ndo inayo sababisha wewe kuandika ulicho andika hapa
 
Niende moja kwa moja kwenye mada, kifupi mie nakaa Jiji la mzee Amos makalla na nimebahatika kupata kibanda sasa hapa mtaani. Kuna bi mkubwa flani ambae mwanae wa pili licha ya mie kumzidi umri sana ila ndio mshikaji, maana hiyo mwanae ni mtu wa mambo ya mipira na mie napenda mpira na huwa naungana nae kiwanjani kucheza.

Ila bimkubwa wake amekuwa amekuwa na pigo sio maana kuna watu zaidi ya watu wameniambia bimkubwa hiyo anasambaza habali kuwa mie namkula yeye mwanae hajawahi kuniambia japo nahisi atakuwa anajua.

Sasa leo jana nimeenda kuangalia mechi ya FA kati ya Liver na Wolves kwenye baa flan jirani nimemkuta yule mama ameshawaka, nikampa heshima yake akapotezea baadae baadae kaniganda nimsindikize nyumbani huku hata game ya liver haijaisha, nikakataa. Mwanae ambae mshikaji yeye hakuja kuangalia game kwa sababalu aliachiwa nyumba.

Sasa nikasema nimsindikize faster nirudi nimalizie game, matokeo yake tumefika njiani kanichinjia kuwa mie najifanya mtoto wakati mtu mzima. Yeye amekuwa akinielewa siku nyingi hivyo akataka nicheze cowbell our milk na nimuweke walau mzunguko mmoja vinginevyo atanizingua kwa kupiga kelele kuwa nataka kumrape na akayatoa kabisa mamilk.

Nilichofanya ni kutoka mbio mpk getho kwangu ila nimekaa najiuliza kwanini hawa wamama wanakosa ustaarabu? Huyu mama kanizidi over 10 years leo analazimisha penzi kwangu, he wa umri wake hawaoni? Na kwanini kaamua kunisambazia uzushi kuwa mie namkula yeye wakati sio kweli? Mpaka sasa sielewi hasa lengo lake nini!
Shida iko wapi🤷🏿‍♂️ Si anataka nanihioo kwanini umnyime🤷🏿‍♂️ Toka lini wanaume tukawa wachoyo🤦🏿‍♂️🤷🏿‍♂️
 
Mzee baba mbona mim sion tatizo apo, we mgonge uyo maza, Mimi mwenyewe nakula maza yeye ana 46 yrs na mm nina 33 yrs
 
Kwa hiyo mshikani wako atakuita baba mdogo? Pole Mkuu.

Kuna dogo mmoja alikuwa mchezaji wa timu moja kule mkoani Kagera sasa hivi yupo moro kusini huko village. Anaishi na bi mkubwa wake kabisa. Yaani Mama yake mzazi wananyanduana live bila chenga. Room moja, wakishalewa tu kosa maandalizi yaanzia kwenye kadamnasi huku jamaa akijisifia kabisa anaenda kula mbolea ya mamayake. Sipendi kumtaja jina ila dogo ndo kapotea kiivyo na hayumo sawa kichwani kama zimepoteana kidogo.
 
Hiyo aisee ni laana kabisa au labda ndio masharti ya mganga wao
 
Back
Top Bottom