Mama wa rafiki yangu changamoto

Mama wa rafiki yangu changamoto

We nae una utoto mwingi sana..ungempiga mashine tu kama alivyoomba
 
Kama haujaoa basi anataka kuwa mama mwny nyumba.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada, kifupi mie nakaa Jiji la mzee Amos makalla na nimebahatika kupata kibanda sasa hapa mtaani. Kuna bi mkubwa flani ambae mwanae wa pili licha ya mie kumzidi umri sana ila ndio mshikaji, maana hiyo mwanae ni mtu wa mambo ya mipira na mie napenda mpira na huwa naungana nae kiwanjani kucheza.

Ila bimkubwa wake amekuwa amekuwa na pigo sio maana kuna watu zaidi ya watu wameniambia bimkubwa hiyo anasambaza habali kuwa mie namkula yeye mwanae hajawahi kuniambia japo nahisi atakuwa anajua.

Sasa leo jana nimeenda kuangalia mechi ya FA kati ya Liver na Wolves kwenye baa flan jirani nimemkuta yule mama ameshawaka, nikampa heshima yake akapotezea baadae baadae kaniganda nimsindikize nyumbani huku hata game ya liver haijaisha, nikakataa. Mwanae ambae mshikaji yeye hakuja kuangalia game kwa sababalu aliachiwa nyumba.

Sasa nikasema nimsindikize faster nirudi nimalizie game, matokeo yake tumefika njiani kanichinjia kuwa mie najifanya mtoto wakati mtu mzima. Yeye amekuwa akinielewa siku nyingi hivyo akataka nicheze cowbell our milk na nimuweke walau mzunguko mmoja vinginevyo atanizingua kwa kupiga kelele kuwa nataka kumrape na akayatoa kabisa mamilk.

Nilichofanya ni kutoka mbio mpk getho kwangu ila nimekaa najiuliza kwanini hawa wamama wanakosa ustaarabu? Huyu mama kanizidi over 10 years leo analazimisha penzi kwangu, he wa umri wake hawaoni? Na kwanini kaamua kunisambazia uzushi kuwa mie namkula yeye wakati sio kweli? Mpaka sasa sielewi hasa lengo lake nini!

IMG_0125.GIF
 
hebu toa ujinga mkule
 
Pole kwa hiyo kadhia
Ingawa nimeshangaa kwamba mtoto wake Ambae kakuzidi wewe Ila mama yake kakuzidi wewe Kama miaka 10 tu?

Niliku najaribu kutafuta umri wa mama nikakosa jibu nikabaki kuhisi huenda alimzaa rafiki yako akiwa na umri wa chini ya miaka 10.

Pole Sana kwa changmoto ullyo/unayo pitia
 
"Kusoma kuelewa kukesha mbwembwe" wewe mwalimu wako alikuwa na kazi kukuelewesha kwa kukusaidia nimesema mwanae wa pili nimezidi umri sana tu ila bimkubwa yeye kanizidi kama 10 na kidogo. kigumu kipi hapo
 
Utoto raha sana,
Ngoja nimalizie hii Chai japo sukari haijakolea sana.
 
Pole sana, weka picha yake upewe muongozo...
 
Back
Top Bottom