Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli hao kina mama wapige kazi kelele Wawa achie vyuraLabda wanaidharau jinsi ilivyo kazi enyewe, ila wangejua maokoto yako hapo wasingesema.
Wawaache wamama wa watu wajitafutie pesa zao wenyewe.
Sijui lakini. Ila kaa ukijua kuna wazazi wabishi sana. Anaweza kuwa na mtoto profesa ila bado akawa anauza pombe za kienyeji.Wasanii wa Tz ukiachana na showoff zao, Ila kiufupi wana maisha magumu Sana .
Mama wa Rayvanny yupo mbeya sokoni anauza Mboga za majani za reja reja.
Na mama yake Martha anaokota machupa na kuuza juice.
This industry is all about shit.
Shida sio wasanii shida ni watanzania... Wamekariri baadhi ya biashara na kazi sasa wakiona mtu anauza mboga na mtoto no msanii wanashangaa wakati huo huo asilimia 95 nyumba nyingi Tanzania mboga mboga ndio mboga kuu kwa milo yote.nafikiri tatizo sio biashara ya mbogamboga shida hawa wasanii wanatabia ya kuigiza maisha na kutengeneza picha flani kwa watu kwamba maisha wameyapatia kumbe sio ualisia jambo ambalo ndio usani wenyewe na watu hawaelewi
Sababu ya historical background na sintofahamu nyingi, siwezi kusema sana kuhusu baba.Vipi kuhusu baba yake?
"Hadharani" Una maana gani, huo muda wa kuwafuatilia unapata wapi?Wao si ndio wanawake maisha yao tuyajue mitandaoni? Sada endelea na Show Off harafu ukibroke uone kama tutaacha kukusema.
Kama unayaonesha hadharani inakuwaje usitake.kusemwa hadharani?
Pitiku ni mboga ya maboga.Afu watu hawajui, Bustani za mboga zina hela balaa, nilishawahi fanya,
Ila mie walikua wanakuja bustanini wenyewe walanguzi, pesa nayopata hadi mwenyewe siamini.
Ni biashara nzuri yenye hela hatarii, mchicha, tembele, pitiku, sukuma wiki, mnafu, Chinese, spinach, etc
Halafu unakuta àna mabody guards anawalipa kumlinda, kwanini asimpe màma yàke hela?Kipato cha mtoto kinaamua mama au mzazi afanye kazi gani.
Sio asifanye kazi bali afanye kazi gani kulingana na kipato cha mtoto wake.
Mama kakusomesha kwa kuokota makopo. Umefanikiwa na unapesa unamuacha aendelee kufanya kazi yake ya kuokota makopo, kisa ana uzoefu nayo?
Upumbavu mkubwa!
Ukiwa na pesa harafu hauna ubunifu hata wa kutafutia mama yako aina ya kazi/biashara, hiyo sio pesa halali.
Hata kama anauza Je anauza kwa mfumo upi? Huwezi kusema biashara Fulani inalipa wakati faida hapo haizidi 5000 kazi hiyo pia ni ngumu kwa mtu mzima kusimama juani unauza mbogaShida sio wasanii shida ni watanzania... Wamekariri baadhi ya biashara na kazi sasa wakiona mtu anauza mboga na mtoto no msanii wanashangaa wakati huo huo asilimia 95 nyumba nyingi Tanzania mboga mboga ndio mboga kuu kwa milo yote.
Msanii ni lazima alindwe vijana wanaingiza pesa nyingi asikwambie mtuHalafu unakuta àna mabody guards anawalipa kumlinda, kwanini asimpe màma yàke hela?
Huu ni upunguani ndo maana wanalaaniwa na kuanza kusaga wenzao kama huyo martha.
Kufanya kazi ni baraka, kufanya kazi ni lazima
Tangu kuumbwa kwa dunia Mungu alimwamrisha binadamu afanye kazi!
Na ndio maana alimpa Bustani ailime na kuitunza!
Kazi ni lazima haijalishi una pesa ngapi unless una afya isiyo njema au umri mkubwa
Pitiku ni nini cocasticAfu watu hawajui, Bustani za mboga zina hela balaa, nilishawahi fanya,
Ila mie walikua wanakuja bustanini wenyewe walanguzi, pesa nayopata hadi mwenyewe siamini.
Ni biashara nzuri yenye hela hatarii, mchicha, tembele, pitiku, sukuma wiki, mnafu, Chinese, spinach, etc
HakikaFanya yako
Na inampa afya ya akili kukaa bila kazi sio vizuriBimkubwa ana watoto wanne wakiume wote tunajiweza. Ila kila siku jioni anapika mikate anauza ambapo faida yake kwa siku ni kama 6000. 6000Tsh ndio faida yake kwa siku pesa ambayo anaiweza kuipata bila kufanya kazi,ila anaskia raha kuifanya ile kazi yake na kuzalisha kipato chake hata kama kidogo.
Halafu mama yake anàkaa juani kuuza mchicha fungu la jero.Msanii ni lazima alindwe vijana wanaingiza pesa nyingi asikwambie mtu
Acha aitafute hiyo hiyo ya halali ni nzuri zaidiHalafu mama yake anàkaa juani kuuza mchicha fungu la jero.
Haina maana kupata pesa nyingi halafu shida za familia zibaki pale pale.
Hongera sana bibie.Afu watu hawajui, Bustani za mboga zina hela balaa, nilishawahi fanya,
Ila mie walikua wanakuja bustanini wenyewe walanguzi, pesa nayopata hadi mwenyewe siamini.
Ni biashara nzuri yenye hela hatarii, mchicha, tembele, pitiku, sukuma wiki, mnafu, Chinese, spinach, etc
Mtu anafanya kazi alafu unasema ana maisha magumu, mtu anaweza akauza mboga rejareja akaingiza ela nyingi kuliko wewe mteja wake. Au ulitaka afanye kazi gani? (Afungue super market ambayo hana uzoefu nao