Mama wa Watoto 30+ Kutolewa Mahari na Mwanaume Asiye Baba wa wanaye? Heshima au Maisha ya Maonyesho?

Seran

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
36,315
Reaction score
104,500
Kuna jambo linanichanganya. Tunashuhudia mama mwenye watoto zaidi ya umri wa miaka 30 anafanyiwa sherehe ya kutolewa mahari, kwa mbwembwe kubwa, akiwa kama binti wa kwanza. Lakini cha kushangaza, anayemposa si baba wa hata mmoja wa hao watoto.

Shughuli ni ya moto! watu mtaa mzima wanajua, watoto wa huyo mama wapowakubwa kwa wadogo..

Je, huu ni uthibitisho wa uhuru wa mwanamke kuanza ukurasa mpya wa maisha? Au ni ishara ya kutafuta kuthibitishwa kijamii bila kujali athari za kisaikolojia kwa watoto?

Tumeingia kwenye enzi ambapo "mradi apate mume" imekuwa kauli maarufu, lakini je, namna tunavyotafuta hiyo ndoa inatoa mfano gani kwa watoto wetu na jamii?

Naomba tujadili kwa heshima:
  • Je, ni sahihi kutolewa mahari kama binti wa kwanza ukishakuwa mama wa watoto wengi?
  • Watoto wanajifunza nini kupitia haya?
  • Hii ni haki ya mwanamke au ni presha ya mitandao?
 
Katika mambo yasiyotabirika Duniani ni pamoja na Mapenzi

Mapenzi hayatoi sababu ya kumpenda mtu/kupendana

Ndiyo maana Kijana mdogo wa miaka 25 anaweza kupendana na Mama mtu mzima wa miaka 45

Au Mwanaume Mzee wa umri wangu wa 70+ kumpenda binti wa miaka 23 na ukakuta bond inakuwa imara kuliko kawaida

Suala la huyo Mwanaume kutokuwa na mtoto/watoto isiwe kikwazo Kwa yeye kupendana na huyo Mwanamke

Tuwaombee heri, maisha yao yawe mazuri waishi pamoja hadi wazeeke pamoja
 
Kwani Mahari (Bride Price; Dowry) ina maana gani hasa kwa jamii ya sasa au jamii ya huyo anayetolewa na kutoa ?

Wengine huu ni wakati wa kuonyesha appreciation au kuuza Sura na kuonyesha Umwamba au Kujali (Value) wanachopata....

To each their own....;

NB: Ingawa nadhani hii dhana ya Mahari hususan kwa Jamii za Kihindi ambazo Mwanamke ndio alikuwa anatoa zilikuwa na Maana sana na ziliwasaidia katika arranged marriages zao - Kwamba mwanamke ndio anakuwa master of the coins na hizo pesa ni kama mtaji / security siku akiachwa au akiachika abaki na vijisenti
 
Mwanamke single mother hastahili kutolewa mahari na wala hastahili kufanyiwa harusi.

1. Mahari ni asante kwa wazazi kwa kumtunza binti yao. Sasa kama demu lilishazalishwa unashukuru nini?

2. Harusi ni sherehe ya kufurahia kupata penzi la tunda (mbunye) jipya. Sasa unafirahiaje kupata kiporo (single mother)?
 
Katika mambo yasiyotabirika Duniani ni pamoja na Mapenzi

Mapenzi hayatoi sababu ya kumpenda mtu/kupendana

Ndiyo maana Kijana mdogo wa miaka 25 anaweza kupendana na Mama mtu mzima wa miaka 45

Au Mwanaume Mzee wa umri wangu wa 70+ kumpenda binti wa miaka 23 na ukakuta bond inakuwa imara kuliko kawaida

Suala la huyo Mwanaume kutokuwa na mtoto/watoto isiwe kikwazo Kwa yeye kupendana na huyo Mwanamke

Tuwaombee heri, maisha yao yawe mazuri waishi pamoja hadi wazeeke pamoja
Amina, uko sahihi, mwenyew napenda wazee..kwahiyo suala la kutoa mahari na kualika ndugu na jamaa wa mtaani hapo ni sawa?
 
Wanadai
Kwani Mahari (Bride Price; Dowry) ina maana gani hasa kwa jamii ya sasa au jamii ya huyo anayetolewa na kutoa ?

Wengine huu ni wakati wa kuonyesha appreciation au kuuza Sura na kuonyesha Umwamba au Kujali (Value) wanachopata....

To each their own....;

NB: Ingawa nadhani hii dhana ya Mahari hususan kwa Jamii za Kihindi ambazo Mwanamke ndio alikuwa anatoa zilikuwa na Maana sana na ziliwasaidia katika arranged marriages zao - Kwamba mwanamke ndio anakuwa master of the coins na hizo pesa ni kama mtaji / security siku akiachwa au akiachika abaki na vijisenti
ni kuheshimisha familia..
 
Katika mambo yasiyotabirika Duniani ni pamoja na Mapenzi

Mapenzi hayatoi sababu ya kumpenda mtu/kupendana

Ndiyo maana Kijana mdogo wa miaka 25 anaweza kupendana na Mama mtu mzima wa miaka 45

Au Mwanaume Mzee wa umri wangu wa 70+ kumpenda binti wa miaka 23 na ukakuta bond inakuwa imara kuliko kawaida

Suala la huyo Mwanaume kutokuwa na mtoto/watoto isiwe kikwazo Kwa yeye kupendana na huyo Mwanamke

Tuwaombee heri, maisha yao yawe mazuri waishi pamoja hadi wazeeke pamoja
Nakazia ujumbe wako mkuu
 
Back
Top Bottom