Mnavyowasimanga single mothers utafikiri siyo watu. Utafikiri walijitomba na kujizalisha wenyewe. Not fair!Mwanamke single mother hastahili kutolewa mahari na wala hastahili kufanyiwa harusi.
1. Mahari ni asante kwa wazazi kwa kumtunza binti yao. Sasa kama demu lilishazalishwa unashukuru nini?
2. Harusi ni sherehe ya kufurahia kupata penzi la tunda (mbunye) jipya. Sasa unafirahiaje kupata kiporo (single mother)?
Sio ndoa, ni mahali tu, kulikuwa na haja gani kualika mtaa na ndugu kutoka mbali? Kwani watu wachache tu haitoshi kuheshimisha mji?Aibu ya nini sasa namana hawajui kama wao ni watoto halamu? Na mama yao amechoka udhinifu ameamua kuweka wakifu ndoa halali.
Wenyewe ndo wameamua hivyo. Pesa ni zao. Ndugu wamekubali kuja kutoka mbali. Na mtaa wamekubali kuwaunga mkono. Mbona kama umekereka sana? Umechangishwa? Ulilazimishwa kuchanga? Halooo!Sio ndoa, ni mahali tu, kulikuwa na haja gani kualika mtaa na ndugu kutoka mbali? Kwani watu wachache tu haitoshi kuheshimisha mji?
Ni haki yake kufanya kile anacho jisikia, huujui uchungu aliopitia miaka yote hiyo kungoja hiyo siku ifike maana wengi walikuwa wanakuja wanamdhalisha wanatimumka, sasa amepata bahati kwa nini asisimamishe nchi.Sio ndoa, ni mahali tu, kulikuwa na haja gani kualika mtaa na ndugu kutoka mbali? Kwani watu wachache tu haitoshi kuheshimisha mji?
NB:kitanda hakizai haramu!
Mwambie wamama na wababa wenzie tunataka kumuona šhataki kupigwa pichaš
Kwahiyo unaumia kidudu wivu š¹Kama ulikuwepo šš½
MubabaSawa mamaš