Wazee wa hovyo🤣🤣Wewe unakwama wapi?
Wazee tumejaa tele hapa ujue 😜
Kwa kweli, tukikutana na mabinti wa elfu 2 tunaishiwa pawa yaani 🤗Ndio na mnahudumia sana😅
Wazee tukikunwa ndevu tu, tunatoa password ya Benki 🤗Wazee wa hovyo🤣🤣
Woooi!Wazee tukikunwa ndevu tu, tunatoa password ya Benki 🤗
Kwa ule utundu wao, Unajikuta unamkabidhi kadi na nywila akajitolee salio 🙌Ndio inavyotakiwa beana😅
Bora tumezeeka sasa 😅Mzee muhuni sio😆
😅😅 Karibia tu Mjukuu, muhimu usichote zote hadi nikaishiwa hela ya Kiko 🤗Afadhali 😅 nilifikiri bado nijaribu bahati😆 unipe hiyo kadi ninichotee misasampa tu
Inawezekana kaombwa mchango wa harusi.Kwanini unahangaika na mambo ya watu? Huna kazi ya kufanya?
Hayakuhusu
Tahadhali muhimu kuchukua, mwaka 47 niliwahi kutekwa na binti fulaniSasa kama unawaza ela ya kiko saiz itakuwaje 😂
Mwaka 47 ulikuwa unazini mpk leo unafanyann duniani😂Tahadhali muhimu kuchukua, mwaka 47 niliwahi kutekwa na binti fulani
Bila watoto wangu wakubwa kuingiliana kati, nilitaka nikabidhi hati za nyumba na viwanja kwa yule binti
Binti utasema mdomoni hana meno wakati wa kuanza kuimba na maiki 😜🙌
Kuwa na huruma na Wazee Mjukuu 🤗Mwaka 47 ulikuwa unazini mpk leo unafanyann duniani😂