Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
😅😅Kama upo mjini, fanya mpango tukanywe kahawa hapo City centerNi mpk nikukague aisee haiwezekani😊
😅😅Kama upo mjini, fanya mpango tukanywe kahawa hapo City centerNi mpk nikukague aisee haiwezekani😊
Mungu ajaalie nawe utolewe kama KE na kama MME I guessed you shall carefully.usileft group..Kama ilivyokuwa ngumu kwako kuachana na huu uzi.. niache!
Acha wivu.Ndio
Usijali Mjukuu, nikija shambani Mwezi Ujao tutaonana tu 😜Mimi ni wa kijijini babu pole😃
...Kinakushangaza Nini Sasa ? Kuna Sheria kwamba Msichana mdogo ndio atolewe Magari TU ?Kuna jambo linanichanganya. Tunashuhudia mama mwenye watoto zaidi ya umri wa miaka 30 anafanyiwa sherehe ya kutolewa mahari, kwa mbwembwe kubwa, akiwa kama binti wa kwanza. Lakini cha kushangaza, anayemposa si baba wa hata mmoja wa hao watoto.
Shughuli ni ya moto! watu mtaa mzima wanajua, watoto wa huyo mama wapowakubwa kwa wadogo..
Je, huu ni uthibitisho wa uhuru wa mwanamke kuanza ukurasa mpya wa maisha? Au ni ishara ya kutafuta kuthibitishwa kijamii bila kujali athari za kisaikolojia kwa watoto?
Tumeingia kwenye enzi ambapo "mradi apate mume" imekuwa kauli maarufu, lakini je, namna tunavyotafuta hiyo ndoa inatoa mfano gani kwa watoto wetu na jamii?
Naomba tujadili kwa heshima:
- Je, ni sahihi kutolewa mahari kama binti wa kwanza ukishakuwa mama wa watoto wengi?
- Watoto wanajifunza nini kupitia haya?
- Hii ni haki ya mwanamke au ni presha ya mitandao?
Unapanic mzee mpk sielewi nikujibu nini? Soma kwa kuelewa sio kwa sababu unaham za kubishana😂...Kinakushangaza Nini Sasa ? Kuna Sheria kwamba Msichana mdogo ndio atolewe Magari TU ?
Hadithi Yako Inaelekea ni HadÃthi TU ya Kubuni !
Haya yametokea Wapi ? Mbona hujasema Mwanzo TU ? 🤔🤔
Huwa inashangaza sana huu mtandao sasa sijui hakuna waliokimbia mimba au hata kuachana kutokana na hili au lile.Mnavyowasimanga single mothers utafikiri siyo watu. Utafikiri walijitomba na kujizalisha wenyewe. Not fair!
Jiandae kupokea Wazee 🤗Hallelujah...!
Tangu lini Wazee tuna pawa ya kuandamanaKaribu sana tuandamane😆
Tumebaki na Jukumu la kushauri tuHee wazee kazi yenu nini ss?😂
Mahali gani hapo panapotolewa?Kama hakuwahi kutolewa mahali basi ni haki yake kutolewa.
Yupo sahihi.