Mama wa Watoto 30+ Kutolewa Mahari na Mwanaume Asiye Baba wa wanaye? Heshima au Maisha ya Maonyesho?

Kuna jambo linanichanganya. Tunashuhudia mama mwenye watoto zaidi ya umri wa miaka 30 anafanyiwa sherehe ya kutolewa mahari, kwa mbwembwe kubwa, akiwa kama binti wa kwanza. Lakini cha kushangaza, anayemposa si baba wa hata mmoja wa hao watoto.

Shughuli ni ya moto! watu mtaa mzima wanajua, watoto wa huyo mama wapowakubwa kwa wadogo..

Je, huu ni uthibitisho wa uhuru wa mwanamke kuanza ukurasa mpya wa maisha? Au ni ishara ya kutafuta kuthibitishwa kijamii bila kujali athari za kisaikolojia kwa watoto?

Tumeingia kwenye enzi ambapo "mradi apate mume" imekuwa kauli maarufu, lakini je, namna tunavyotafuta hiyo ndoa inatoa mfano gani kwa watoto wetu na jamii?

Naomba tujadili kwa heshima:
  • Je, ni sahihi kutolewa mahari kama binti wa kwanza ukishakuwa mama wa watoto wengi?
  • Watoto wanajifunza nini kupitia haya?
  • Hii ni haki ya mwanamke au ni presha ya mitandao?
Kosa liko wapi kama huyo baba ameamua kujitwalia mabaki ya wengine na kulea watoto wa wenzake. Pia, uchunguze kama ni mkurya maana kwao kitanda hakizai haramu
 
Ukisoma title vzr utagundua watoto ni 30+ mdogo yuko secondary na ni wasukuma na mama ndio anajiweza zaidi so sijaona malezi yanayohitajika mpaka sasa
 
Kuna jambo linanichanganya. Tunashuhudia mama mwenye watoto zaidi ya umri wa miaka 30 anafanyiwa sherehe ya kutolewa mahari, kwa mbwembwe kubwa, akiwa kama binti wa kwanza. Lakini cha kushangaza, anayemposa si baba wa hata mmoja wa hao watoto.

Shughuli ni ya moto! watu mtaa mzima wanajua, watoto wa huyo mama wapowakubwa kwa wadogo..

Je, huu ni uthibitisho wa uhuru wa mwanamke kuanza ukurasa mpya wa maisha? Au ni ishara ya kutafuta kuthibitishwa kijamii bila kujali athari za kisaikolojia kwa watoto?

Tumeingia kwenye enzi ambapo "mradi apate mume" imekuwa kauli maarufu, lakini je, namna tunavyotafuta hiyo ndoa inatoa mfano gani kwa watoto wetu na jamii?

Naomba tujadili kwa heshima:
  • Je, ni sahihi kutolewa mahari kama binti wa kwanza ukishakuwa mama wa watoto wengi?
  • Watoto wanajifunza nini kupitia haya?
  • Hii ni haki ya mwanamke au ni presha ya mitandao?
Mambo yao, mahari hutoi wewe, hupokei wewe, wewe yanakuhusu nini?
 
Sio kila kitu kiko chini ya sheria mkuu.. siongelei sheria unazowaza ww
Mtazamo wako hauwezi kuwa sahihi kwa kila mtu kama vile ambavyo mtazamo wa wenzako sio sahihi kwako.
Kama wewe sio bwana harusi unayetakiwa kutoa mahari basi huna haki ya kulalamika. Unachotakiwa ni kushangaa tu na kuwaacha na mambo yao maana hayakuhusu.
 
S

Sawa Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom