Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,449
- 3,287
Inakuhusu nini wewe wao wamependana unakuja kuleta huku si ndo umbea huo
Suali lako lina ncha mbili 1 mahari 2 sherehe. Ama kwa mahari hili halina limit ya umri wa anaeolewa. Ukitaka kumuoa mwanamke unatakiwa utowe mahari (hasa kwa waumini wa kiislamu). Ama sherehe ya harusi hiyo watu wengi watakuwa na different point of views. Kwa mimii naona sherehe ndogo tu inatosha.Kuna jambo linanichanganya. Tunashuhudia mama mwenye watoto zaidi ya umri wa miaka 30 anafanyiwa sherehe ya kutolewa mahari, kwa mbwembwe kubwa, akiwa kama binti wa kwanza. Lakini cha kushangaza, anayemposa si baba wa hata mmoja wa hao watoto.
Shughuli ni ya moto! watu mtaa mzima wanajua, watoto wa huyo mama wapowakubwa kwa wadogo..
Je, huu ni uthibitisho wa uhuru wa mwanamke kuanza ukurasa mpya wa maisha? Au ni ishara ya kutafuta kuthibitishwa kijamii bila kujali athari za kisaikolojia kwa watoto?
Tumeingia kwenye enzi ambapo "mradi apate mume" imekuwa kauli maarufu, lakini je, namna tunavyotafuta hiyo ndoa inatoa mfano gani kwa watoto wetu na jamii?
Naomba tujadili kwa heshima:
- Je, ni sahihi kutolewa mahari kama binti wa kwanza ukishakuwa mama wa watoto wengi?
- Watoto wanajifunza nini kupitia haya?
- Hii ni haki ya mwanamke au ni presha ya mitandao?
Ooh kumbe basi sikujua huyu ni mkristo mtoa mahari ndio muislam na ni mahari tu ss ww tuko ukurasa mmoja, sherehe ndogo inatosha! Ss kuna mbwa zinakuja kubweka ovyo hapa kama imeona mifupa sijui imeona midume!Suali lako lina ncha mbili 1 mahari 2 sherehe. Ama kwa mahari hili halina limit ya umri wa anaeolewa. Ukitaka kumuoa mwanamke unatakiwa utowe mahari (hasa kwa waumini wa kiislamu). Ama sherehe ya harusi hiyo watu wengi watakuwa na different point of views. Kwa mimii naona sherehe ndogo tu inatosha.
Kapata mwenzie wameelewana, wakaona isiwe tabu wahalalishe kwa wazazi, yote kheri ila sio kualika watu at that age its shame ata kwa watoto wakubwa atleast wale wadogo,"Msimbe" hatolewi mahari.
Huyo muoaji atakuwa zuzu na ana roho ngumu kwelikweli.
Mi hata nikiachana na mamachanja leo hii siwezi kujichanganya kuoa jimshangazi lenye watoto umri wa 30+
Hiyo ni sawa na kuiita SUICIDE ATTEMPT...!
uchawi upo piaKuna jambo linanichanganya. Tunashuhudia mama mwenye watoto zaidi ya umri wa miaka 30 anafanyiwa sherehe ya kutolewa mahari, kwa mbwembwe kubwa, akiwa kama binti wa kwanza. Lakini cha kushangaza, anayemposa si baba wa hata mmoja wa hao watoto.