Mama wa watoto 8 atorokwa na mumewe, aomba msaada

Huyo jamaa kazingua sana,badala angesaidaa na hao washikaji zake wawili (hao wakubwa) kusaka mkate wa kila siku hasa watokapo shule yeye anakimbia kikosi kizuri hicho.

Yaani kawalea mpaka wamefikia wakati wa kujitafutia na wao ndo anakimbia,kazingua.
Huyo binti akaze kwenye vibarua tu kama vipo lazima atatusua kwani nguvu kazi anayo.

Ninmpataje huyu dada nimpatie sadaka?
 
Nimejaribu kujiuliza tu. Hivi huyo jamaa hela za kumpeleka uyo mke hospital kujifungua watoto wote hao alizipatia wapi? Na hawana makazi. Au huko vijijini watu wanajifungulia nyumbani. Au huduma za kujifungua kwa vijijin ni bure?
Msoto anaopitia ni tiba,wakati wa kujifungua njia hufunguka yenyewe tu.
 
Harafu huyo jamaa unakuta yupo na kismartphone chake kaingia JF kuwaponda single maza
 
Matusi hayasaidii, mama anataka msaada/mumewe.
Wewe na mumewe aliyekimbia mko sawa maana wote hamna Masada!
Weka Na.tutoe michango.
Huyo mama na yeye ni Mpumbavu.

Wakati wanapeana utamu na huyo mumewe, walikuwa wanategemea nani aje awasaidie kulea nyege zao?

Wazazi wapumbavu wa namna hii hawafai kabisa kuzaa. Maana wanaongeza idadi ya maskini duniani na kuipa serikali gharama kubwa kulea nyege zao na upumbavu wao.
 
Duh, kuna watu Mungu kawajaalia aisee. Yani unatembea na mioyo miwili Mara 8? Watu na afya zao kwa kweli

Mungu amfanyie wepesi katika malezi ya watoto wake.
Hiyo ni kawaida sana kwa muafrika ila kwa ninyi wafuasi wa kimagharibi mnaona ajabu sana sisi kwetu tumezaliwa watoto 10 baba mmoja na mama mmoja
 
Hivi inakuwaje mtu ana maisha magumu lakini anazaa watoto kirundo hivyo? Kuna mambo ni ya kujitakia.
Kabisa halafu wakishazaa wanaanza kutia saini huruma kutaka misaada ya watu.

Watu maskini hawafai kabisa kuzaa maana wanaongeza idadi ya maskini wengine duniani na kuipa serikali gharama ya kuhudumia nyege zao na upumbavu wao.
 
Wazungu walio wengi hawazai watoto kama hawana uwezo wa kuwatunza. Ni heri asizae kabisa maishani mwake. Ila waafrika walio wengi, hata kama hajui atakula nini , yeye anazaa tu. Nchi zinaendelea kuwa masikini kwa kugawana umaskini. Kuna mdogo wa wifi yangu kazaa watoto wa 4 ili hali wana chumba kimoja. Hela ya kula shida , mchana watoto wanashinda njaa. Wifi yangu alikuwa anawatumia mpaka hela ya kula. Mimba ya mtoto wa mwisho kidogo afe, kapelekwa hospital wana elfu 20 tu, na anahitaji upasuaji. Ilibidi kujichanga kuokoa maisha yake na mtoto. Wifi yangu alimuambia daktari amfunge kizazi wakati wa upasuaji na yeye ilibidi aridhie kwa kulazimishwa.
 
Mwanamke mjinga sana huyi miaka 37 watoto wote hao
Jpm alisema fyatueni elimu bure mkafyatua kweli
Huyo nwamba akiyetoroka asirudi tena atafute mke mwenye kujielewa sio huyu mburura
 
Umeongea ukweli maisha ni fumbo gumu sana
Kuna watu hata mmoja wanataman ila hawapati

Wako watu wanamtuhumu kuzaa watoto wengi maisha sio ya kuyaogopa sana
 
Unajua waafrika ni wajinga sana.

Watu wanajijua wana hali ngumu, ila bado wanaendelea kuzaa kuleta watoto duniani.

Umaskini wa waafrika unatokana na ujinga na upumbavu wao.
Wewe mwenye akili tuonyeshe jambo la maana ulilofanya hapa duniani niko pale nasubiria
 
Unakuta mwanaume kaenda kuoa tena mtoto mbichii...anazalisha tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…