Mama Wema Sepetu amvaa Whozu kuishi kwa Wema

Ameongea vizuri kabisa mama wa watu.
Sema binti yake ndio huyo ashajichoka sijui.

Mungu Atusaidie tuwe na kizazi chema.
 
Kwa hiyo Whozu kahamia nyumbani kwa Wema [emoji2356]

Ila mama Wema kwa historia ndefu ya Wema kuhusu mahusiano yake hatakiwi kuongelea uhuni...hadi sasa alitakiwa kuelewa na kukubali kwamba amezaa mwanadada muhuni

Mzazi huwezi ona mwanao hivyo hata kama wakiwa wahuni unaamin atabadilika na kumuona mzuri maisha yote
 
hao watu ni wawapi kwani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…