Mama Wema Sepetu amvaa Whozu kuishi kwa Wema

Kwa hiyo Whozu kahamia nyumbani kwa Wema 🤦‍♀️

Ila mama Wema kwa historia ndefu ya Wema kuhusu mahusiano yake hatakiwi kuongelea uhuni...hadi sasa alitakiwa kuelewa na kukubali kwamba amezaa mwanadada muhuni
🤣 Huyu mama leo ndio kaona mwanae anafanya uhuni! Kipindi alitakiwa kupiga hizi kelele ni wakati binti yake analiwa na Kanumba, wakati ambapo whozu akiwa darasa la 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…