Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kaa mbele na mke wako,mama mkwe alae na mumewe nyumba huko!Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Sii mnunue gari mbili tuu, mama mzazi awe nangari lake. Wewe na bby wako upo na gari lenuWakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Anakaa mke tuu. Mama huko backbencher. Lazima hekima itumikeIla siti ya mbele😂😂😂
Ina migogoro hiyoo😂😂😂
tukiwa wote watatu, yani mimi mume wangu na mzazi wake au wangu, inapaswa mzazi akae nyuma as mgeni na sio nimpishe mbele. But if tuko na kijana wetu au mwanaume mwingine ndani ya gari, basi kijana wetu au huyo mwanaume mwingine atakaa siti ya mbele na mzee,,then mimi na mama mkwe tunakaa nyuma. just simpleWakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Mzee punguza izo stick zinakuleta makosaPia cha kujazia nyama kwa kuzingatia sehemu husika mfano mnaenda nyumbani kwa mkeo basi mkeo lazima akae mbele mama atawasindikiza nyuma, ninaposema nyumbani namaanisha nyumbani kwao kwa baba na mama yake mama yako akija atawaacha mkae mbele huko mjigalamue yeye atakaa nyuma km mpambe tu wa shughuli
Kuna siku mtakuja na nyuzi za kuuliza eti kati ya mama yako na mke wako ni yupi "anastahili kulala na wewe master bedroom"Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Karibu tachometer kimoja mkuu, nahisi umenielewaMzee punguza izo stick zinakuleta makosa
Manigga Qwame Niache NtesekeMbele nakaa na chaliangu nyuma atakaa bibie na bimkubwa , kama chaliangu ameenda shule mbele nakaa mwenyewe nyuma bimkubwa na beib
😂Siti ya mbele litakaa box la pombe mama na mkwe wake watakaa huko nyuma, wakipiga stories zao na umbea wa hapa na pale.
Huo ndio muda wa kusoma text za mchepuko wako 🔥Nawaacha wote wakae mbele mi nakaa Seat ya nyuma nachat zangu jf
Mke wangu ndiyo anastahili..Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala ni mtambuka, naomba kujuzwa.
Mke wako siti ya mbeleWakuu naomba ufafanuzi katika hili.