Mama yangu alifariki huku akijua simpendi

Yote hayo nimeyafanya lakini wapi, zaidi alizidi kunidharau na pia kunamdogo wangu nilimchukua alimaliza Form 4 ikawa kwamba nikimchukua mdogo wangu nilazima nimtumie 50000 [emoji23][emoji23][emoji23]. Kiukweli kunasiku ilibidi nimfokee maana alizidi aisee na pia niliumia sana na nikasema kama ni laana anipe tu.
 
Ilitakiwa umsamehe ...kosa kubwa lisilosameheka kwa mzazi labda kama alikutupa baada ya kukuzaa na ukaokolewa na wengine
Nimemuonea huruma sana
Huyo Sasa kiboko
 
Aisee
 



Mkazie hivyo hivyo huku ukionesha kumheshimu lakini jitambue weka kanuni na misimamo yako ya maisha.

Kuwa na maamuzi yako na ujisimamie.

Yeye utamsaidia kile unachoona anastahili kwa kadiri utakavyojaliwa.

Ukikosa basi aelewe tu.

Na sio iwe sheria Eti ya kulipa Fadhili sababu kakulea.

Kwani ulimuomba akulee ?

Ndio maana Ulaya na America wakiona mzazi au mlezi anazingua tu much nao wana wazingua ili kuwekana Sawa na kuenda sawa.

Laana isiyo na sababu haimpati mtu Imeandikwa hivyo.

Ishi maisha yako.

Kukulea iwe nongwa?!

Bila kuwa na misimamo yako ataendelea kujutawala.

Halafu ukute kuna mtu au watu wanampampu nyuma yake!

Na Pia jitahidi usijiweke kwenye maisha ya hali ya juu ambayo sio halisi.

Usiongelee mafanikio yako kwa watu ambao kisha wanaenda kumwambia huyo babu yako mlezi kuwa siku hizi una hela nyingi.

Angalia mazungumzo yako na watu waliopo Karibu na huyo mlezi.

Pengine Ndiyo yanayokuponza.
 
Aisee jamaa atakuwa anatamani sana muda urudi nyuma arekebishe makosa yake ila ndio hivyo, huyo mke nae alishindwa kumuhimiza mumewe amjali mama yake au hata yeye alishindwa kumjali mama mkwe khaaa
 
Acha kusingizia ukamilifu
Kuna vitu vingine havihitaji hata maelezo vinahitaji umakini mkubwa hasa wazazi .

Kwanini hukuja kuomba msaada mwanzo ukaamua mwenyewe?
Sasa utaambiwa nini tuku comfort na mzazi ameshakwenda?
Kama ndo kaifahamu jamii now asiombe msaada kisa Alisha kufa kwake Hilo limekuwa gumu ndomana kaja kutafuta njia ya kumuezesha kumsaidia
 
Sababu unakurupuka tu watu wanapitishwa kwenye magumu na wazazi Wai Leo hii kunawatu hawako sawa kiakili kisa malezi na maisha walopitishwa na wazazi Wai hasa Mana wewe Kama ulibahatika kupata mama anae kupenda shukuru watu tuna mengi tumeumezwa na mama afu mtu anaandika Ili apate msaada wewe unaleta mihemko apa
 
Lz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…