Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Mama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia masuala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo tafadhali.