X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
umeombea...mkoa gani...? na je huyo afisa uhamiaji akukupa namba yake ya simu...? kama alikupa namba yake ya simu jiongeze mpigie simu muyapange....anda kati ya 20k hadi 50k...!1. Fomu la uhamiaji lililojazwa kikamilifu
2. Barua ya utambulisho kutoka kwa muajiri
3. Cheti changu Cha kuzaliwa
4. Copy ya kitambukusho changu Cha NIDA
5. Copy ya kitambukusho Cha NIDA Cha mama
6. Affidavit ya kuzaliwa Cha mama
7. Death certificate ya baba
si alisha kuchukua fingerprints...?