Mama yangu ana miaka 70. Je, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa?

Mama yangu ana miaka 70. Je, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa?

Mama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia masuala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo tafadhali.

Kama pesa ipo ni jambo la siku chache tu[emoji23]
 
kuna documents zina miss... uhamiaji bora upeleke document nyingi zaidi washindwe wao kuliko upeleke ndogo harafu waushitukie mchezo.

ungeweka kitambulisho cha kazi...
ungeambatanisha na mkataba wa ajira...

ila usikate tamaa... utapata fuata ushauri wangu wa juu hapo... harafu cheti cha kuzaliwa kina patikana...upo mkoa gani...? nikuunganishe na mtu wa vizazi na vifo...!​

Acha kumponza mwenzio,ahakikishe pochi ina maneno tu
 
Aende kwa afisa mtendaji akiwa na picha yake ndogo
halafu kuna form atajaza pale kisha
watampa aende RITA
pale utatoa Tsh/10000
kisha baada ya siku 8 mambo tayari
labda hiyo siku iangukie wk end
 
Ukitoa LAKI TU unapewa kila kitu hadi unaomba poo.

Utahudumiwa kama mfalme huku wanakenua meno kwa furaha.

LAKII
 
Duh kwanini wanakataa Affidavit? Last time (mwezi wa 10) mimi hawakunikatalia.
 
Mama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia masuala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo tafadhali.
anapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia masuala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo tafadhali.
Zingatia comment # 4 utafanikiwa. Ofisi za vizazi na vifo zipo Ofisi ya Mkuu wa Wilaya.
 
Anapata ndio!. Nenda ofisi ya Mkuu wa wilaya katika eneo lako ukiwa na nyaraka zozote zinazomhusu mzazi wako utatengenezewa cheti chako cha kuzaliwa. Gharama zake ni kati ya 10,000 na 20000 TSH.
 
Back
Top Bottom