Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
MasaiNyie ni kabila gani??
Anapata rudi tena uhamiaji ukaonane na mkuu wakeMama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia maswala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake Cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo tafadhali
Mambo magumu kwa kweli. Affidavit imekataliwa wakati kwenye tovuti ya uhamiaji wametaja kama mbadala wa cheti Cha kuzaliwa kwa mzaziUmri fulani hawakupewa hivyo vyeti.
Tafuta mtu wa vizazi na vifo ila pitia mwanasheria watakuchongea cheti.
Nchi yetu ni ngumu, lazima hela ikutoke.
haipokelewiMambo magumu kwa kweli. Affidavit imekataliwa wakati kwenye tovuti ya uhamiaji wametaja kama mbadala wa cheti Cha kuzaliwa kwa mzazi
Kwanini Hawazikubali wakati kwenye tovuti ya uhamiaji wametaja kama mbadala wa cheti Cha kuzaliwa?inawezekana mkuu...true affidavit hawazikubali
🤷♀️Kwanini Hawazikubali wakati kwenye tovuti ya uhamiaji wametaja kama mbadala wa cheti Cha kuzaliwa?
Cheti cha kuzaliwa hakina umri, ruksa.Mama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia maswala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake Cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo tafadhali
akifika amwambiaje sasa...?
Nenda Rita utapata cheti cha kuzaliwaMama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia maswala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake Cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo tafadhali
1. Fomu la uhamiaji lililojazwa kikamilifusamahani nje ya mada...unaweza ukaniorodheshea support documents ulizoambatanisha...?
Ana namba ya NIDA ila kwa bahati mbaya Ina majina ya ukoo wa mume wakeanapata ila kwa bahati sana
na hapo mpaka uende ofisin maana kuna viambata ambavyo inawezekana hana
sorry namba ya nida anayo? a