Mama yangu ana miaka 70. Je, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa?

umeombea...mkoa gani...? na je huyo afisa uhamiaji akukupa namba yake ya simu...? kama alikupa namba yake ya simu jiongeze mpigie simu muyapange....anda kati ya 20k hadi 50k...!

si alisha kuchukua fingerprints...?
 
kuna documents zina miss... uhamiaji bora upeleke document nyingi zaidi washindwe wao kuliko upeleke ndogo harafu waushitukie mchezo.

ungeweka kitambulisho cha kazi...
ungeambatanisha na mkataba wa ajira...

ila usikate tamaa... utapata fuata ushauri wangu wa juu hapo... harafu cheti cha kuzaliwa kina patikana...upo mkoa gani...? nikuunganishe na mtu wa vizazi na vifo...!​
 
Ndio anapata, chmsingi ni document zake tu kama kadi kura na nida
 
Afsa uhamiaji wa wapi aliekataa?

Kukataa huko kunaweza kuashiria wewe sio raia na mama sio raia.

Affidavit ni document sahihi kabisa.

Mtu aliezaliwa kabla ya mwaka 1978 halazimishwi kua na cheti cha kuzaliwa. Sheria ya cheti cha kuzaliwa inamtaka mtu yoyote aliezaliwa kuanzia 1978 ndio awe na cheti cha kuzaliwa.

Fuatilia vizuri ujue sababu ya yeye kukataa affidavit ni ipi.
 
Mh mi nilitumia hizo na tulipata wote 3 passport
au wameanza hivi karibuni kukataa?

We dili na mtu 1 hapo ihamiaji unampa hela anamaliza
Mi sitakagi usumbufu
 
😘😘😘😘😘😘😘😍😍😍😍😍😍
 
Mh mi nilitumia hizo na tulipata wote 3 passport
au wameanza hivi karibuni kukataa?

We dili na mtu 1 hapo ihamiaji unampa hela anamaliza
Mi sitakagi usumbufu
kuna jambo... hope barua ya kazi haikuwa kwenye format inayo takiwa,

kwenye barua ya utambulisho kutoka kazi kuna vitu huwa wazingatia,

format ya hiyo barua.
mihuri ya kampuni.
barua itaje kumtambua na kuwa itanatarajia kumpa kazi za kusafiri...

format ikiwa nje ya hapo wanahisi udanganyifu...
kingine mikoa baadhi ipo red zone ukitokeq kwenye mikoa hiyo kupata pass...lazima jasho likutoke​
 
njoo inbox
 
Hawataki watu wasafiri nje ya nchi
 
Uje na wazazi wake ili tujue kama kweli ni wa Tz ndo tunatoa cheti chake
 
Unataka kumpa passport au nida.??
 
Hawataki watu wasafiri nje ya nchi
hapana ujue...wanao sababisha mambo yawe magumu katika upatikanaji wa pass za kusafiria ni ndugu zetu walio wahi kwenda majuu wengi walienda kwa mishe haramu na wengine walienda bila kuwa na kazi maalum.

wanaishia kuwa wazurulaji huko ugenini ina kuwa hasara na aibu kwa serikali kwani most of them huwa wana rudishwa kama mizigo. ndio maana afisa uhamiaji mpaka akupe passport kwa hapa nyumbani.

ni lazima ajiridhishe sana na mwenye jukumu la kumshawishi ni wewe mwenyewe muombaji.

though ni haki ya kila mtanzania kuwa na Hati ya kusafiria....!​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…