Mama yangu ana miaka 70. Je, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa?


Kama pesa ipo ni jambo la siku chache tu[emoji23]
 

Acha kumponza mwenzio,ahakikishe pochi ina maneno tu
 
Aende kwa afisa mtendaji akiwa na picha yake ndogo
halafu kuna form atajaza pale kisha
watampa aende RITA
pale utatoa Tsh/10000
kisha baada ya siku 8 mambo tayari
labda hiyo siku iangukie wk end
 
Ukitoa LAKI TU unapewa kila kitu hadi unaomba poo.

Utahudumiwa kama mfalme huku wanakenua meno kwa furaha.

LAKII
 
Duh kwanini wanakataa Affidavit? Last time (mwezi wa 10) mimi hawakunikatalia.
 
anapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zingatia comment # 4 utafanikiwa. Ofisi za vizazi na vifo zipo Ofisi ya Mkuu wa Wilaya.
 
Anapata ndio!. Nenda ofisi ya Mkuu wa wilaya katika eneo lako ukiwa na nyaraka zozote zinazomhusu mzazi wako utatengenezewa cheti chako cha kuzaliwa. Gharama zake ni kati ya 10,000 na 20000 TSH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…