Mama yangu kaniumiza sikutegemea

Mama yangu kaniumiza sikutegemea

Si tunajaribu jamani huwezi jua mara pap umepata shemeji wa kizungu anataka katiresi unadhani itakuwaje 😹😹😹
hapo hapo naingia yutyubu natafta video ya cook with wema sepetu then shwaaaa mr anakula katiresi zangu😂
 
Usimuliaji kama zile riwaya za akina watotot wa mama ntilie dahh kongole sanaaaaa
 
hapo hapo naingia yutyubu natafta video ya cook with wema sepetu then shwaaaa mr anakula katiresi zangu😂
😹😹😹 Mdogoangu wanaume watakaotuoa nawaonea huruma sana.!!
 
Back
Top Bottom