Mama yangu kaniumiza sikutegemea

Si tunajaribu jamani huwezi jua mara pap umepata shemeji wa kizungu anataka katiresi unadhani itakuwaje ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
hapo hapo naingia yutyubu natafta video ya cook with wema sepetu then shwaaaa mr anakula katiresi zangu๐Ÿ˜‚
 
Usimuliaji kama zile riwaya za akina watotot wa mama ntilie dahh kongole sanaaaaa
 
hapo hapo naingia yutyubu natafta video ya cook with wema sepetu then shwaaaa mr anakula katiresi zangu๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Mdogoangu wanaume watakaotuoa nawaonea huruma sana.!!
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Mdogoangu wanaume watakaotuoa nawaonea huruma sana.!!
I believe I can fly ๐Ÿ˜‚ muhimu ndoa ziwepo mengine mbele kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ