Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Antonnia
Kalpana
Bantu Lady
baby zu
Analyse
Intelligent businessman
 
Ila jamaa yule Mshikaji wa MBEZI si ulimblock?mbona kuna sehemu unasema alikupigia tena?au kwa Number ingine?
 
Ila jamaa yule Mshikaji wa MBEZI si ulimblock?mbona kuna sehemu unasema alikupigia tena?au kwa Number ingine?
Sikumblock bali nilizima ile line ambay alikuwa anawasliana na naa . Unajua nilikuwa na simu mmoja ya line mbili so kilichotokea nilifung line mmoja alaf line nyingine. Nikaiacha wazi lkn ile namba nikaiongezea namba kwhy wakt napga round ya pili kwa vile namba zmezd jb lililokuja kuwa namba sio sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…