Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
- Thread starter
- #441
Tuko pamoja nitakuwa nakutag kila nkipost muendelezo
Already addicted with a story.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Already addicted with a story.
😁😁😁😁😁Aiseeeeee
Mimi pia kiongoziTuko pamoja nitakuwa nakutag kila nkipost muendelezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CHAPTER 8
Saa 1 sister anakuja kuniamsha chai teyali kitu nacho ukimbini sikikutarajia kabisa yani. kumbe ile safari ya kwenda kuchukua risiti sio ya watu watatu yani mimi , sister na mama .
sister alimkodi jamaa fulani hivi mnyanyua vyuma jitu la miraba 12 kifua tako eti tuongozane nae ili nisikimbie njiani.
yule jamaa alikuwa acheki kabisa aliniambia kauli mmoja ya kunitisha " kuwa mdogo wangu uko njiani ukikimbia nikikukamata cha kwanza nakuvunja kiuno mse#€e wewe"
Nikaona daaah sasa SHABANI KAONEKA NIMEYAKANYAGA
INAENDELEAAAA....
Safari ikaanza kutoka keko hiyo mpaka kurasini maghetto kufata risiti ya ada. si nilisema nimelipa ada hapo tupo watu wanne , mama, sister na baunsa wa kunilinda mimi tu nisikimbie. yani mda uo nipo ndani ya gari lakini natamani gari ialibike hivi au ipinduke alafu iwake moto au nizimie.
Jamani tupate wadhamini kidogo [emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2633663
maana najua ada sijalipa na wala sina risiti, lakini pia shule nilikuwa nina kesi kuna mwalimu wa academy nilikuwa namkimbia kila siku kwa sababu ya nilikuwa nina kesi nae ya kugombea mchumba mmoja ilikuwa pisi kali balaa alafu teacher alikuwa anamtaka mchumba lakini mchumba hamtaki teacher akapata taarifa kutoka kwa mashushushu wa shule kuwa mimi ndo natoka na mchumba. na nishawahi kumtusi yule teacher yani nilijisahau kabisa kama namtukana mamba wakati bado sijavuka mto.
kuna baadhi ya matukio yasikie tu
ile nafika maghetto nimefika mlangoni kwanza picha linaanza ghetto hakuna mtu watu wote wameenda shule. kwa vile funguo najua inapowekwaga nikachukua funguo nikafungua mlango lakini hapo baunsa yupo nyuma yangu hachezi mbali na mimi.
nikaingia ndani nikajifanya natafuta tafuta risiti hivi tafuta sana dakika ya mwisho nikasema jamani sijui risiti ipo wapi lakini ilikuwa ipo humuhumu ndani.
kwa bahati mbaya si ndo ikaonekana mikeka ya betting ya mwanangu iliyochanika mule ghetto.
baunsa akakandia " Sister huyu sijui kama pesa hajabettia atatupotezea mda tumpeleke shule tu"
mama mda uo ananitazama tu kwa jicho la hasira hapo jasho linanitoka balaa. najilaumu why sasa au kulikuwa na aja gani ya mkumteka mtoto wa watu Naa mbona kanimalizia pesa kizembe sana.
ikabidi tutoke ghetto mpaka shule nilikuwa nina shati langu chafu nikaambiwa vaa hilo hilo twende shule. Sasa miongoni mwa kitu ambacho sikikutarajia kabisa shule nilikutana na mjomba yani mdogo wake mama.
tukasilimiana wote tukaingia ofisini.
mda uo shujaa nimechanganyikiwa mguu paapu mpaka shule kwa mwalimu wa darasa kufika kwa mwalimu wa darasa akasema yeye hajisikii vizuri.
akamuomba mwalimu wa academy amsilize mama na nibanwe mpaka niseme pesa ya ada ipo wapi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwalimu wa academy akanitazama kisha akasema ali nassor wewe kichwa sana akamwambia mama " bi mkubwa huyu mtoto wako ana akili sina ila siku hizi kabadilika balaa na navyokwambia huyu bwana mkubwa kashaanza mambo ya mapenzi hapa shule"
mama akaniuliza " anayosema mwalimu wako ni kweli
nikamwambia " sio kweli mama ananisingizia tu "
teacher akatabasamu akasema sawa kama nakusingizia.teacher akatoka nje akasema jamani nisubirini kidogo nakuja sasa hivi.
ile kutoka nje nadhani alikamata demu moja mbaya mbaya hivi akampiga bakora nyingi sana mpaka akachanganyikiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
mpaka akawa yupo hoi sana. akamleta staff mule , demu kaingia mule staff analia analia alafu demu mwenyewe sura ngumu balaa.
yani huyo demu na mimi basi mimi mzuri mara 100.
Yule demu wakati anaendelea kulia kabla hata sijaulizwa ada nimepeleka wapi
teacher akanipiga bakora 700 bila kuulizwa chochote . yule demu nae akapigwa tena nadhani zile bakora ndo zilizifi kumchanganya akili tena.
Teacher akamwambia Mama na mjomba jamanibhuyu ndo demu wa mtoto wenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa kazi ikawepo mimi nakataa "huyu sio demu wangu bhana"
Demu anang'ang'ania huyu bwana wangu.
pigwa sana. kuna watu wanasema kwamba ukipigwa bakora kaza tako bakora zinakuwa haziumi sana siku hiyo nilikaza tako lakini kila nilivyokuwa nikikaza tako ndonnikivyozidi kuisi maumiv yani nilipigwa bakora mpaka nikawa nasikia maumivu kwenye moyo.
nikaulizwa pesa ya ada iko wapi mimi kauli yangu ni ile ile tu pesa nishalipa sema sijaleta risiti tu, teacher akanitazama anatoka tena nje sijui alienda wapi ila arirudi kama baada ya dakika kadhaa hivi na majibu ya uhakika alikuja na list ya watu waliolipa ada " kutazama ile list jina langu halipo"
akaniambia si kubali tu kuwa pesa umehonga uko wakati anaongea hayo huku ananipiga piga na bakora mgongoni.
aaaah nilimaindi ghafla tu sikuwaza kama kuna baunsa , mama, mjomba wala sister.
teacher akawa anakazia tu kubali kubali...
na mimi si nikaropoka bhna " nikubali nini sasa basi na wewe kubali kama jana usiku umemt₹#@ mkeo"
aaah kipigo kilizidi mara mbili nikaona huyu teacher ataniua sasa muhuni ikabidi nitubu tu " jamani pesa nimepoteza ila nilikuwa naogopa kusema"
sister si akakanyagia zaidi" akataja habari za mikeka ya betting waliyoiona kule ghetto"
kesi sasa ikawa inajulikana eti pesa ya ada yote nimebettia.
Fast ikapigwa kengele ya assembly. assembly ilijaa watu sana kuanzia wanafunzi wa form 1 -6. mda uo mikono nimeweka nyuma sura nimeinamisha chini machozi yananitoka tu teacher anavimba.
kesi yangu inasomwa kwanza teacher akasema kuwa " ali nassor ana makosa 30 yakiwemo makosa ya udanganyifu, kusumbua wazazi wake lakini pia kubettia pesa ya ada na nyingine kuhonga na kunitolea maneno makali ya matusi mazito mazito "
wanafunzi wote mda uo aaaah wanashangaa tu.
" hivyo basi adhabu yake anatakiws kupigwa bakora 25 lakini 15 kashapigwa staff nyingine 10 atapigwa hapa adhabu yake imbatana na suspension ya miezi miwili na hii nataka iwe fundisho kwa wanafunzi wengine"
nikapigwa pale bakora zangu kadhaa nikaingia zangu staff nikaambiwa andika barua ya kukiri makosa yako na uombe msamaha pia kwenye hiyo barua nikaona aah sio kesi haina namna .
baada ya kuandika barua nikaambiwa nitoke staff nimsubiri mama na sister wanaongea na teacher lakini mda natoka nje pale nje nikakutana na mjomba..
mjomba aliniambia " mjomba umeyatafuta matatizo"
nikamjibu " mjomba sijayatafuta matatizo ila matatizo yamenitafuta mimi ila najutia sana na naona nimemkosea mama na familia kiujumla "
mjomba akaniambia kitu kimoja ambacho kilinishtua kidogo " tulia mjomba yangu mambo madogo tu haya tunayamaliza na umenifurahisha sana[emoji16][emoji16][emoji16]"
ITAENDELEAAAA...
AntonniaCHAPTER 8
Saa 1 sister anakuja kuniamsha chai teyali kitu nacho ukimbini sikikutarajia kabisa yani. kumbe ile safari ya kwenda kuchukua risiti sio ya watu watatu yani mimi , sister na mama .
sister alimkodi jamaa fulani hivi mnyanyua vyuma jitu la miraba 12 kifua tako eti tuongozane nae ili nisikimbie njiani.
yule jamaa alikuwa acheki kabisa aliniambia kauli mmoja ya kunitisha " kuwa mdogo wangu uko njiani ukikimbia nikikukamata cha kwanza nakuvunja kiuno mse#€e wewe"
Nikaona daaah sasa SHABANI KAONEKA NIMEYAKANYAGA
INAENDELEAAAA....
Safari ikaanza kutoka keko hiyo mpaka kurasini maghetto kufata risiti ya ada. si nilisema nimelipa ada hapo tupo watu wanne , mama, sister na baunsa wa kunilinda mimi tu nisikimbie. yani mda uo nipo ndani ya gari lakini natamani gari ialibike hivi au ipinduke alafu iwake moto au nizimie.
Jamani tupate wadhamini kidogo 😁👇👇👇👇
View attachment 2633663
maana najua ada sijalipa na wala sina risiti, lakini pia shule nilikuwa nina kesi kuna mwalimu wa academy nilikuwa namkimbia kila siku kwa sababu ya nilikuwa nina kesi nae ya kugombea mchumba mmoja ilikuwa pisi kali balaa alafu teacher alikuwa anamtaka mchumba lakini mchumba hamtaki teacher akapata taarifa kutoka kwa mashushushu wa shule kuwa mimi ndo natoka na mchumba. na nishawahi kumtusi yule teacher yani nilijisahau kabisa kama namtukana mamba wakati bado sijavuka mto.
kuna baadhi ya matukio yasikie tu
ile nafika maghetto nimefika mlangoni kwanza picha linaanza ghetto hakuna mtu watu wote wameenda shule. kwa vile funguo najua inapowekwaga nikachukua funguo nikafungua mlango lakini hapo baunsa yupo nyuma yangu hachezi mbali na mimi.
nikaingia ndani nikajifanya natafuta tafuta risiti hivi tafuta sana dakika ya mwisho nikasema jamani sijui risiti ipo wapi lakini ilikuwa ipo humuhumu ndani.
kwa bahati mbaya si ndo ikaonekana mikeka ya betting ya mwanangu iliyochanika mule ghetto.
baunsa akakandia " Sister huyu sijui kama pesa hajabettia atatupotezea mda tumpeleke shule tu"
mama mda uo ananitazama tu kwa jicho la hasira hapo jasho linanitoka balaa. najilaumu why sasa au kulikuwa na aja gani ya mkumteka mtoto wa watu Naa mbona kanimalizia pesa kizembe sana.
ikabidi tutoke ghetto mpaka shule nilikuwa nina shati langu chafu nikaambiwa vaa hilo hilo twende shule. Sasa miongoni mwa kitu ambacho sikikutarajia kabisa shule nilikutana na mjomba yani mdogo wake mama.
tukasilimiana wote tukaingia ofisini.
mda uo shujaa nimechanganyikiwa mguu paapu mpaka shule kwa mwalimu wa darasa kufika kwa mwalimu wa darasa akasema yeye hajisikii vizuri.
akamuomba mwalimu wa academy amsilize mama na nibanwe mpaka niseme pesa ya ada ipo wapi 😁😁😁
Mwalimu wa academy akanitazama kisha akasema ali nassor wewe kichwa sana akamwambia mama " bi mkubwa huyu mtoto wako ana akili sina ila siku hizi kabadilika balaa na navyokwambia huyu bwana mkubwa kashaanza mambo ya mapenzi hapa shule"
mama akaniuliza " anayosema mwalimu wako ni kweli
nikamwambia " sio kweli mama ananisingizia tu "
teacher akatabasamu akasema sawa kama nakusingizia.teacher akatoka nje akasema jamani nisubirini kidogo nakuja sasa hivi.
ile kutoka nje nadhani alikamata demu moja mbaya mbaya hivi akampiga bakora nyingi sana mpaka akachanganyikiwa😂😂😂
mpaka akawa yupo hoi sana. akamleta staff mule , demu kaingia mule staff analia analia alafu demu mwenyewe sura ngumu balaa.
yani huyo demu na mimi basi mimi mzuri mara 100.
Yule demu wakati anaendelea kulia kabla hata sijaulizwa ada nimepeleka wapi
teacher akanipiga bakora 700 bila kuulizwa chochote . yule demu nae akapigwa tena nadhani zile bakora ndo zilizifi kumchanganya akili tena.
Teacher akamwambia Mama na mjomba jamanibhuyu ndo demu wa mtoto wenu 😂😂😂😂
😂😂😂 sasa kazi ikawepo mimi nakataa "huyu sio demu wangu bhana"
Demu anang'ang'ania huyu bwana wangu.
pigwa sana. kuna watu wanasema kwamba ukipigwa bakora kaza tako bakora zinakuwa haziumi sana siku hiyo nilikaza tako lakini kila nilivyokuwa nikikaza tako ndonnikivyozidi kuisi maumiv yani nilipigwa bakora mpaka nikawa nasikia maumivu kwenye moyo.
nikaulizwa pesa ya ada iko wapi mimi kauli yangu ni ile ile tu pesa nishalipa sema sijaleta risiti tu, teacher akanitazama anatoka tena nje sijui alienda wapi ila arirudi kama baada ya dakika kadhaa hivi na majibu ya uhakika alikuja na list ya watu waliolipa ada " kutazama ile list jina langu halipo"
akaniambia si kubali tu kuwa pesa umehonga uko wakati anaongea hayo huku ananipiga piga na bakora mgongoni.
aaaah nilimaindi ghafla tu sikuwaza kama kuna baunsa , mama, mjomba wala sister.
teacher akawa anakazia tu kubali kubali...
na mimi si nikaropoka bhna " nikubali nini sasa basi na wewe kubali kama jana usiku umemt₹#@ mkeo"
aaah kipigo kilizidi mara mbili nikaona huyu teacher ataniua sasa muhuni ikabidi nitubu tu " jamani pesa nimepoteza ila nilikuwa naogopa kusema"
sister si akakanyagia zaidi" akataja habari za mikeka ya betting waliyoiona kule ghetto"
kesi sasa ikawa inajulikana eti pesa ya ada yote nimebettia.
Fast ikapigwa kengele ya assembly. assembly ilijaa watu sana kuanzia wanafunzi wa form 1 -6. mda uo mikono nimeweka nyuma sura nimeinamisha chini machozi yananitoka tu teacher anavimba.
kesi yangu inasomwa kwanza teacher akasema kuwa " ali nassor ana makosa 30 yakiwemo makosa ya udanganyifu, kusumbua wazazi wake lakini pia kubettia pesa ya ada na nyingine kuhonga na kunitolea maneno makali ya matusi mazito mazito "
wanafunzi wote mda uo aaaah wanashangaa tu.
" hivyo basi adhabu yake anatakiws kupigwa bakora 25 lakini 15 kashapigwa staff nyingine 10 atapigwa hapa adhabu yake imbatana na suspension ya miezi miwili na hii nataka iwe fundisho kwa wanafunzi wengine"
nikapigwa pale bakora zangu kadhaa nikaingia zangu staff nikaambiwa andika barua ya kukiri makosa yako na uombe msamaha pia kwenye hiyo barua nikaona aah sio kesi haina namna .
baada ya kuandika barua nikaambiwa nitoke staff nimsubiri mama na sister wanaongea na teacher lakini mda natoka nje pale nje nikakutana na mjomba..
mjomba aliniambia " mjomba umeyatafuta matatizo"
nikamjibu " mjomba sijayatafuta matatizo ila matatizo yamenitafuta mimi ila najutia sana na naona nimemkosea mama na familia kiujumla "
mjomba akaniambia kitu kimoja ambacho kilinishtua kidogo " tulia mjomba yangu mambo madogo tu haya tunayamaliza na umenifurahisha sana😁😁😁"
ITAENDELEAAAA...
Odo ake barikiwa sana mrembo wangu Lovelovie
Asante mjomba kanikosha 🤗Analyse Palina Antonnia Depal Kapeace Numbisa baby zu Watu8 Dr Restart Kalpana Bantu Lady charrote Nylon Half american Amehlo Jane Lowassa Franky Samuel Leejay49 Nourhan Robot la Matope Elli Makindajr Vinci Dayot Upamecano IFRS Sinoni kyala Ulinamaka Joannah Nuzulati Da Vinci XV masai dada Kalpana Lovelovie Premij canoon Lamzettttt
Dah we dogo Mwanga Nini😂😂, saa 02:33 hi🤔Msisahau kunitag ndugu zangu
Kwani mi nina ninininini, iam single but don't wanna mingle with yah.Tehtehteh
Nacheka sana Ally story yako [emoji23]
Sikumblock bali nilizima ile line ambay alikuwa anawasliana na naa . Unajua nilikuwa na simu mmoja ya line mbili so kilichotokea nilifung line mmoja alaf line nyingine. Nikaiacha wazi lkn ile namba nikaiongezea namba kwhy wakt napga round ya pili kwa vile namba zmezd jb lililokuja kuwa namba sio sahihiIla jamaa yule Mshikaji wa MBEZI si ulimblock?mbona kuna sehemu unasema alikupigia tena?au kwa Number ingine?
😂😂😂😂 Lkn usiombe yakukuteNacheka sana Ally story yako [emoji23]
Pp usiwaze mkuu 🤜🤜🤜Msisahau kunitag ndugu zangu