Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

Katika kitu ambacho najisifu mpka leo ni kupita salama kipindi cha utotoni na kipindi cha mihemuko cha form 2,3,4,5&6 bila kudinywa...hapa watu watakataaa hahaha ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜†
Kwani kudinywa ni fedheha?
 
Watu wameitana kama wote halafu msimuliaji anaendelea kula chapati kwa maharage tu.๐Ÿค”
 
Dah maskini katoto kawatu,,,,nasubiri kujua Kama ulifungua ma nylon Mwenye au jamaa wa mbezi alishafanya yake kitambo
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kwani chief umeambiwa hii ni story ya kweli 100% au mbona una panic chief
Kwani ya kutunga?yaani Mimi nikijuaga story ya kutunga inanikata stimu๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ