Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ni kutokana na ubinafsi tu uliota mizizi Kwa kizazi hikiKwanini hatuna upendo wa dhati?
Nilisha waambia wafanye hivyoMwambie huyo mfanyakazi asihangaike na friji,awe anakula jikoni wakati anawaandalia hayo mazagazaga wanayo yafungia kwenye friji.
Mimi naishi mkoani, Hapo naleta vyakula vya kutosha Kila mwezi. Pia mama yangu anajiweza sana, anafanya kazi UNESCO mshahara mzuri na safari anazo nyingi za kutosha.Issue ni fridge ama issue ni vinapikwa watu hawashibi?
Anza kwa kutoa hela za matumizi kwanza ndio ulalamike
Kwa hiyo ni Bora kutupa vyakula?Ila hao wafanyakazi nao ukiwachekea mzee Kila siku utakuta friji empty.
Ukiona thread ina maneno ''mama yangu'', au ''baba yangu", basi ujue mleta thread ni kinda na content itakuwa ya kitoto toto.Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.
Nimeshawasema kwa tabia Yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.
Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?
Tuwapende watu wanaotutumikia.
ni wakrsto tu hao watakuwa bila shakaNi wa dini gani?
Ili tujue falsafa ya dini yake inasemaje
Mana hata Freemason ni dini
😁Huenda hata Mama yako na Kaka yako nao wamo humu JF nao pia watachangia thd.
Kama vinatupwa kweli hapo Kuna tatizo la kiakili kwa mama, kaka yako hata wewe pia.Kwa hiyo ni Bora kutupa vyakula?
Mhhh hatari na nusuMimi naishi mkoani, Hapo naleta vyakula vya kutosha Kila mwezi. Pia mama yangu anajiweza sana, anafanya kazi UNESCO mshahara mzuri na safari anazo nyingi za kutosha.
Uchoyo ni kitu kilichomo moyoni mwake sio mfukoni
Hahahaha hii imenikumbusha mbali sana wakati nasoma UDSM pale miaka hiyo 2000! kuna jamaa nilikuwa na share nae chumba pale hall 5 na alikuwa na TV, sasa jamaa alikuwa mchoyo sana, akaweka kikaratasi kwenye meza tuliyowekea TV amekiandika "usiwashe TV bila remote" halafu ajabu ni kuwa hiyo remote ameifungia kwenye kabati lake!Wengne wanafungiaga Hadi TV kwenye kabati. Wafanyakazi wasiangalie, chanzo cha yote haya ni umasikini + roho mbaya
Halafu usikute wanaopika hivyo vyakula ni hao wafanyakazi....ipo siku watalipata wanalolitafuta!Hapo nyumbani wanaona Bora vyakula vimwagwe kuliko viliwe na wafanyakazi
Kwahiyo wasifanye kazi wawe wanaangalia tv, wewe utakuwa umepanga chumba kimoja unafikiria wote wanaishi kwenye chumba kimoja.Wengne wanafungiaga Hadi TV kwenye kabati...wafanyakazi wasiangalie..chanzo.cha yote haya ni umaskn + roho.mbaya
Haya mleta mada Mamaako huyu hapo amefika unasikia anachosema lakini[emoji23]Issue ni fridge ama issue ni vinapikwa watu hawashibi?
Anza kwa kutoa hela za matumizi kwanza ndio ulalamike
Kuna mchungaji huku alituma picha ya mkuyenge kwenye group la kanisaHamnaga watu wanafiki kama hawa washika dini!
Mhhh hatari na nusu
Ongea nao uwashauri