Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

Issue ni fridge ama issue ni vinapikwa watu hawashibi?

Anza kwa kutoa hela za matumizi kwanza ndio ulalamike
Mimi naishi mkoani, Hapo naleta vyakula vya kutosha Kila mwezi. Pia mama yangu anajiweza sana, anafanya kazi UNESCO mshahara mzuri na safari anazo nyingi za kutosha.
Uchoyo ni kitu kilichomo moyoni mwake sio mfukoni
 
Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.

Nimeshawasema kwa tabia Yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.

Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?

Tuwapende watu wanaotutumikia.
Ukiona thread ina maneno ''mama yangu'', au ''baba yangu", basi ujue mleta thread ni kinda na content itakuwa ya kitoto toto.
 
Ni wa dini gani?
Ili tujue falsafa ya dini yake inasemaje

Mana hata Freemason ni dini
ni wakrsto tu hao watakuwa bila shaka

WAISLAM huwezi kukuta muislam mchamungu akawa mnyimi wa kula
katika kilichobora katika UISLAM ni kutoa katika miongoni mwa unavyovipenda
na moja ya mambo alotuhusia mtume ni kumpenda sana JIRANI yako
na katika thawabu bora ni kuwasaidia wasiojiweza CHAKURA
Yaan katika uislam kupika chakura lingi kisha ukashindwa kukimaliza ni dhambi kubwa
katika uislam ni SUNNAH kuokota chakura ulichodondosha bahati mbaya na kukila

sasa katika hayo machache ni Ngumu mchamungu wa uislam kufungia friji chakula kisa wafanyakaz wasule
 
Wengne wanafungiaga Hadi TV kwenye kabati. Wafanyakazi wasiangalie, chanzo cha yote haya ni umasikini + roho mbaya
Hahahaha hii imenikumbusha mbali sana wakati nasoma UDSM pale miaka hiyo 2000! kuna jamaa nilikuwa na share nae chumba pale hall 5 na alikuwa na TV, sasa jamaa alikuwa mchoyo sana, akaweka kikaratasi kwenye meza tuliyowekea TV amekiandika "usiwashe TV bila remote" halafu ajabu ni kuwa hiyo remote ameifungia kwenye kabati lake!
 
Wengne wanafungiaga Hadi TV kwenye kabati...wafanyakazi wasiangalie..chanzo.cha yote haya ni umaskn + roho.mbaya
Kwahiyo wasifanye kazi wawe wanaangalia tv, wewe utakuwa umepanga chumba kimoja unafikiria wote wanaishi kwenye chumba kimoja.
 
Dini zote kubwa zinahalalisha mambo ya watumwa hivyo usiwe na shaka hao wafanyakazi wanatumikishwa hapo ni watumwa wao wanatimiza dini yao tu
Kama wakristo biblia inasema kabsa "Enyi watumwa watiini mabwana zenu kama Kristo" (sijajua kama nimeiquote vyema ila maana na mantiki ndio hiyo)
Kwahiyo sishangai kabisa
 
Back
Top Bottom