Nimekuwa nao kwa zaidi ya miaka 40, siwaruhusu kama nipo kuanza wao kula na tunakula pamoja. Ulisemalo lipo uhindini, mhindi hawezi kula na mswahili wala kulala chumba kimoja na watoto wake.Mkuu huenda hujui hizi habar za madad wa kazi aisee,HV unajua ktk nyumba nyingine wanadada hawali mpaka Kwanza waanze wenye nyumba na wakibakisha ndio wanakula wao?
Maisha ya hawa watu kwa walio wengi si rafiki kama unavyofikiria kabisa,sikulaumu kwakuwa hujashuhudia hayo
naomba uzidi kuwakanya hawa ndio wanaosababisha wafanya kazi za ndani kufanya ukatili mkubwa sana mfano unaweza kuta mwanao amewekwa kwenye deep freezer narudia tena naomba uendelee kuwakanyaMama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.
Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.
Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?
Tuwapende watu wanaotutumikia.
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]dahPamoja na kwamba mleta mada ni lastborn ila ana hoja
Kushika dini na kumshika Mungu ni vitu viwili tofauti. Hakuna watu wema mchana na wanao sali Sana kama wachawi na majambazi lakini usiombe uiingie 18 zao usiku bora ukutane na simba.Hamnaga watu wanafiki kama hawa washika dini!
Nazungumzia wabongo wenzetu mkuu,watanzania hawa hawaNimekuwa nao kwa zaidi ya miaka 40, siwaruhusu kama nipo kuanza wao kula na tunakula pamoja. Ulisemalo lipo uhindini, mhindi hawezi kula na mswahili wala kulala chumba kimoja na watoto wake.
Mzungu utajua mwenyewe utakavyokula ila siyo mezani pake.
Kwa hiyo kwa sababu wanasali sana ulitaka waachie chakula kitumike hovyo?Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.
Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.
Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?
Tuwapende watu wanaotutumikia.
Acha kabisa acha hili kabila ni wachoyo achahuyo mama itakuwa ni mpare
hatari aiseee niliwahi date na mtu wa hivii yeye kila kitu akinunua lazima awekee ubinafsi manyanyaso ya kifalaa tuuuu na vyangu anatumia... ni asili yao hawawezi kuachaAcha kabisa acha hili kabila ni wachoyo acha
Niliwahi kuwa na boss wa hii kabila acha ila kwa sasa hayupo tena Ameenda Mbinguni kwa Munguhatari aiseee niliwahi date na mtu wa hivii yeye kila kitu akinunua lazima awekee ubinafsi manyanyaso ya kifalaa tuuuu na vyangu anatumia... ni asili yao hawawezi kuacha
Kushika dini na kumshika Mungu ni vitu viwili tofauti. Hakuna watu wema mchana na wanao sali Sana kama wachawi na majambazi lakini usiombe uiingie 18 zao usiku bora ukutane na simba.