Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

Katika maisha yangu kuna vitu nilivyogundua, wapo watu wanashika dini saana lakini vipo vitu/dhambi za asili zinazowadrive ni ngumu kuviacha hata uwe padree au mchungaji, mfano kiburi, hasira, uchoyo,tamaa,ufuska n.k kama hipohipo tu hata kama ukiwa deep kwenye dini kiasi gani bado huwezi kuviacha, ndio maana makanisani kwetu mpaka wachungaji wanagombana n.k
Kuna makanisa, wachungaji wanapigana juju!
 
Kawaida sana hii mimi watu wanasali watu wanaenda kanisani ila wanatufukuza home kwao kama sio walokole halafu ukipata hedhi hawakupi pedi unajiblidia blidia wanakupa kazi nyingi kama nini .
Acha tu chakula upikiwe chenye afya ile nyumba Mungu anawaon yaani hawa watu ni ma mbwa sana wanaibs hadi hela za wageni
 
Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.

Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.

Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?

Tuwapende watu wanaotutumikia.
  1. Wewe una umri gani?
  2. Mnawafanyakazi wangapi kwani inaonekana ni zaidi ya mmoja
  3. Wanafanya kazi gani? namaanisha wanakazi zakuwatosha hadi wawe wengi?
  4. Chakula cha wafanyakazi wanajipikia cha kwao wenyewe? na maanisha nyie wengine mnapika chakula chenu tofauti?
  5. Ukisha yajibu hayo ndio nitaweza kutoa maoni yangu kuhusu kufungiwa firiji
 
Ni kweli na hii inasimaa kwa mmoja mmoja, Mara kadhaa nimeshuhudia viongozi wangu wa kiroho wakirumbana na kushikana mashati na sisi tunawaona hao kama kioo chetu, viongozi wetu tunaona tamaa za ngono "zinawadrive" na kufanya zinaa na waumini wao.
Haya maswala ya imani yanasimama na mtu binafsi na kumuomba Mungu haswaa atubadilishe maisha yetu.
Opondo Chiro, tonang'o...
 
Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.

Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.

Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?

Tuwapende watu wanaotutumikia.
Ratiba ya chakula chenu kama familia ikoje
 
Viongozi wa Dini Wenyewe si ndo wako hivi au

33:53 - Enyi mlio amini! Msiingie nyumba za Nabii ila mpewe ruhusa kwenda kula, sio kungojea kiwive. Lakini mtakapo itwa basi ingieni, na mkisha kula tawanyikeni, wala msiweke mazungumzo. Hakika hayo yanamuudhi Nabii naye anakustahini, lakini Mwenyezi Mungu hastahi kwa jambo la haki. Na mnapo wauliza wakeze haja waulizeni nyuma ya mapazia. Hivyo ndio usafi zaidi kwa nyoyo zenu na nyoyo zao. Wala haikufalieni kumuudhi Mtume wa mwenyezi Mungu Wala kuwaoa wake zake baada yake kabisa Hakika Hilo Jambo kubwa mbele ya mwenyezi Mungu
 
Kuna maisha ambayo sometimes uchoyo ni lazima ,mfano watoto wa majirani wanakesha kwako kila siku kwenye tv, wa kwako haendi kuzunguka huko.

We unapambana unarudi na 5,000 . Unanunua unga ,mafuta mboga na ndizi 4 ya mtoto hela imeishia hapo . Sasa bajeti ya mtoto wako ufanye ndogo ale kwa shida wakati hao watoto pia wana wazazi wao?

Hivo hivo mtu anakupiga sound ya kukopa we unamhurumia unajinyima mwisho wa siku halipi anakupiga chenga.

Kuna wakati nilikuwa chuo nakaa na jamaa ,yeye hela zake hapiki , kuchanga hataki ,umeme halipi hata matunda mawili ya kuzugia kwamba leo mle pamoja ,we mwenye hitaji utaweka yeye akirudi anajimegea,hela zake zinaishia kwa malaya na pombe ,mwisho wa siku unamlisha mtu mzima ,friji ya kwako umeme unalipa wewe kama siyo upuuzi ni nini?
Mtu mwenye shida anasaidiwa na unajua huyu anastahili na amekwama lakini siyo wapuuzi ambao wanatumia advantage ya udhaifu wako.
Mm Ndio ctakagi wapuuzi kama Hawa wanaourudi geto wanakuta msosi hawajui umetoka wap na Wala Hata hawajisumbui kuchanga ,inaumiza sana ni Bora ukae tu mwenyewe .
 
Mm Ndio ctakagi wapuuzi kama Hawa wanaourudi geto wanakuta msosi hawajui umetoka wap na Wala Hata hawajisumbui kuchanga ,inaumiza sana ni Bora ukae tu mwenyewe .
mkuu kuna masela unaenda kupambana,unamwacha anaangalia tv ,hata sahani aliyopakulia chakula uliyopika haoshi unarudi unamkuta anaangalia movie ,upike tena ,sasa mtu kama huyo kama hupigi friji lock si hasara tu
 
Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.

Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.

Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?

Tuwapende watu wanaotutumikia.
Kuna mshika dini hapo mkuu umetupiga na kitu kizito.
 
Asikwambie mtu wengi wanajifanya washika dini kumbe ni kwaajiri ya kujificha na maovu yao kama kuna mchungaji huku kwetu ana watoto wa nje 3 na anadate na baadh ya WAPENDWA [emoji16][emoji16][emoji16] yaani unaweza mkuta kasimama na mpendwa barabarani ukadhani anamuelezea habar za wakoritho na wagaratia kumbe [emoji849][emoji849][emoji849]anamtongoza
 
Katika maisha yangu kuna vitu nilivyogundua, wapo watu wanashika dini saana lakini vipo vitu/dhambi za asili zinazowadrive ni ngumu kuviacha hata uwe padree au mchungaji, mfano kiburi, hasira, uchoyo,tamaa,ufuska n.k kama hipohipo tu hata kama ukiwa deep kwenye dini kiasi gani bado huwezi kuviacha, ndio maana makanisani kwetu mpaka wachungaji wanagombana n.k
Kama kule mbeya kwenye kanisa la KKKT, Wajameni nimetoa mfano tu msianze kunipopoa na mawe
 
Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.

Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.

Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?

Tuwapende watu wanaotutumikia.
Wachunguze vizuri, wanaweza kua wachawi pia

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Nje ya mada.

Hivi Mwanamke/ Binti akiwa mchoyo sana wa chakula baadae akiolewa anaweza kubadilika?
 
ni wakrsto tu hao watakuwa bila shaka

WAISLAM huwezi kukuta muislam mchamungu akawa mnyimi wa kula
katika kilichobora katika UISLAM ni kutoa katika miongoni mwa unavyovipenda
na moja ya mambo alotuhusia mtume ni kumpenda sana JIRANI yako
na katika thawabu bora ni kuwasaidia wasiojiweza CHAKURA
Yaan katika uislam kupika chakura lingi kisha ukashindwa kukimaliza ni dhambi kubwa
katika uislam ni SUNNAH kuokota chakura ulichodondosha bahati mbaya na kukila

sasa katika hayo machache ni Ngumu mchamungu wa uislam kufungia friji chakula kisa wafanyakaz wasule
Umeangalia dini, mwingine atakuja atataja kabila la huyo Mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.

Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.

Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?

Tuwapende watu wanaotutumikia.
Wewe wanakiachiaga funguo ya fliji au na wewe unafungiwa?
 
Back
Top Bottom