Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

Mkuu huenda hujui hizi habar za madad wa kazi aisee,HV unajua ktk nyumba nyingine wanadada hawali mpaka Kwanza waanze wenye nyumba na wakibakisha ndio wanakula wao?

Maisha ya hawa watu kwa walio wengi si rafiki kama unavyofikiria kabisa,sikulaumu kwakuwa hujashuhudia hayo
Nimekuwa nao kwa zaidi ya miaka 40, siwaruhusu kama nipo kuanza wao kula na tunakula pamoja. Ulisemalo lipo uhindini, mhindi hawezi kula na mswahili wala kulala chumba kimoja na watoto wake.
Mzungu utajua mwenyewe utakavyokula ila siyo mezani pake.
 
Niliwahi kuishi na mama wakambo mchoyo dah ni hatari sana.
 
Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.

Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.

Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?

Tuwapende watu wanaotutumikia.
naomba uzidi kuwakanya hawa ndio wanaosababisha wafanya kazi za ndani kufanya ukatili mkubwa sana mfano unaweza kuta mwanao amewekwa kwenye deep freezer narudia tena naomba uendelee kuwakanya
 
Nimekuwa nao kwa zaidi ya miaka 40, siwaruhusu kama nipo kuanza wao kula na tunakula pamoja. Ulisemalo lipo uhindini, mhindi hawezi kula na mswahili wala kulala chumba kimoja na watoto wake.
Mzungu utajua mwenyewe utakavyokula ila siyo mezani pake.
Nazungumzia wabongo wenzetu mkuu,watanzania hawa hawa
 
Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.

Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.

Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?

Tuwapende watu wanaotutumikia.
Kwa hiyo kwa sababu wanasali sana ulitaka waachie chakula kitumike hovyo?

Kwani huwa wanalala njaa kabisa au ni budgeting tu?
 
Kwan si wanalipwa mshahala sasa vya frijini vinawahusu nn wale vya jikon
Dini ni imani tu tumeikuta tukalithi dini sio roho wala nafsi ya mtu uchoyo wizi uongo izo ni tabia za mtu haijalishi anasali au hasali
 
walokole wa nabii Mwingira ni wachoyo waongo wanafki chuki roho mbaya zimewajaa..., Nilijuta kuwajua mbwa wale
 
hatari aiseee niliwahi date na mtu wa hivii yeye kila kitu akinunua lazima awekee ubinafsi manyanyaso ya kifalaa tuuuu na vyangu anatumia... ni asili yao hawawezi kuacha
Niliwahi kuwa na boss wa hii kabila acha ila kwa sasa hayupo tena Ameenda Mbinguni kwa Mungu
 
Back
Top Bottom