Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kuna makanisa, wachungaji wanapigana juju!Katika maisha yangu kuna vitu nilivyogundua, wapo watu wanashika dini saana lakini vipo vitu/dhambi za asili zinazowadrive ni ngumu kuviacha hata uwe padree au mchungaji, mfano kiburi, hasira, uchoyo,tamaa,ufuska n.k kama hipohipo tu hata kama ukiwa deep kwenye dini kiasi gani bado huwezi kuviacha, ndio maana makanisani kwetu mpaka wachungaji wanagombana n.k
Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.
Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.
Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?
Tuwapende watu wanaotutumikia.
Hii imekaa vyema..Tuwapende watu wanaotutumikia
Opondo Chiro, tonang'o...Ni kweli na hii inasimaa kwa mmoja mmoja, Mara kadhaa nimeshuhudia viongozi wangu wa kiroho wakirumbana na kushikana mashati na sisi tunawaona hao kama kioo chetu, viongozi wetu tunaona tamaa za ngono "zinawadrive" na kufanya zinaa na waumini wao.
Haya maswala ya imani yanasimama na mtu binafsi na kumuomba Mungu haswaa atubadilishe maisha yetu.
Ratiba ya chakula chenu kama familia ikojeMama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.
Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.
Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?
Tuwapende watu wanaotutumikia.
Mm Ndio ctakagi wapuuzi kama Hawa wanaourudi geto wanakuta msosi hawajui umetoka wap na Wala Hata hawajisumbui kuchanga ,inaumiza sana ni Bora ukae tu mwenyewe .Kuna maisha ambayo sometimes uchoyo ni lazima ,mfano watoto wa majirani wanakesha kwako kila siku kwenye tv, wa kwako haendi kuzunguka huko.
We unapambana unarudi na 5,000 . Unanunua unga ,mafuta mboga na ndizi 4 ya mtoto hela imeishia hapo . Sasa bajeti ya mtoto wako ufanye ndogo ale kwa shida wakati hao watoto pia wana wazazi wao?
Hivo hivo mtu anakupiga sound ya kukopa we unamhurumia unajinyima mwisho wa siku halipi anakupiga chenga.
Kuna wakati nilikuwa chuo nakaa na jamaa ,yeye hela zake hapiki , kuchanga hataki ,umeme halipi hata matunda mawili ya kuzugia kwamba leo mle pamoja ,we mwenye hitaji utaweka yeye akirudi anajimegea,hela zake zinaishia kwa malaya na pombe ,mwisho wa siku unamlisha mtu mzima ,friji ya kwako umeme unalipa wewe kama siyo upuuzi ni nini?
Mtu mwenye shida anasaidiwa na unajua huyu anastahili na amekwama lakini siyo wapuuzi ambao wanatumia advantage ya udhaifu wako.
mkuu kuna masela unaenda kupambana,unamwacha anaangalia tv ,hata sahani aliyopakulia chakula uliyopika haoshi unarudi unamkuta anaangalia movie ,upike tena ,sasa mtu kama huyo kama hupigi friji lock si hasara tuMm Ndio ctakagi wapuuzi kama Hawa wanaourudi geto wanakuta msosi hawajui umetoka wap na Wala Hata hawajisumbui kuchanga ,inaumiza sana ni Bora ukae tu mwenyewe .
Kuna mshika dini hapo mkuu umetupiga na kitu kizito.Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.
Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.
Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?
Tuwapende watu wanaotutumikia.
Kama kule mbeya kwenye kanisa la KKKT, Wajameni nimetoa mfano tu msianze kunipopoa na maweKatika maisha yangu kuna vitu nilivyogundua, wapo watu wanashika dini saana lakini vipo vitu/dhambi za asili zinazowadrive ni ngumu kuviacha hata uwe padree au mchungaji, mfano kiburi, hasira, uchoyo,tamaa,ufuska n.k kama hipohipo tu hata kama ukiwa deep kwenye dini kiasi gani bado huwezi kuviacha, ndio maana makanisani kwetu mpaka wachungaji wanagombana n.k
Wachunguze vizuri, wanaweza kua wachawi piaMama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.
Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.
Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?
Tuwapende watu wanaotutumikia.
HAPANANje ya mada.
Hivi Mwanamke/ Binti akiwa mchoyo sana wa chakula baadae akiolewa anaweza kubadilika?
Dunia Ina mambo
Hapana ukiwapa uhuru wakula na kuviona vyakula kila wakati watavizoea na vita wakinai hawata kula sana, labda waanzishe tabia ya kuvigawa kwa Majirani.Ila hao wafanyakazi nao ukiwachekea mzee Kila siku utakuta friji empty.
Umeangalia dini, mwingine atakuja atataja kabila la huyo Mama.ni wakrsto tu hao watakuwa bila shaka
WAISLAM huwezi kukuta muislam mchamungu akawa mnyimi wa kula
katika kilichobora katika UISLAM ni kutoa katika miongoni mwa unavyovipenda
na moja ya mambo alotuhusia mtume ni kumpenda sana JIRANI yako
na katika thawabu bora ni kuwasaidia wasiojiweza CHAKURA
Yaan katika uislam kupika chakura lingi kisha ukashindwa kukimaliza ni dhambi kubwa
katika uislam ni SUNNAH kuokota chakura ulichodondosha bahati mbaya na kukila
sasa katika hayo machache ni Ngumu mchamungu wa uislam kufungia friji chakula kisa wafanyakaz wasule
Wewe wanakiachiaga funguo ya fliji au na wewe unafungiwa?Mama yangu anaishi na kaka wa kwanza. Hawa watu ni washika dini sana, lakini ni wachoyo sana wa chakula kiasi kwamba Wamefunga friji na makufuli ili wafanyakazi wasipate nafasi ya kula vyakula kadha wa kadha.
Nimeshawasema kwa tabia yao ya kuwabagua wafanyakazi, lakini hawakomi.
Yaani hadi nashindwa kuelewa hawa watu hata hizo ibada wanazozifanya ni za kazi Gani?
Tuwapende watu wanaotutumikia.