Sasa dogo unalalamika nini tunafunga kwa ajili yako ukajiongeze kufanya kazi na kupata/kununua utakacho.
Ww umelegeza makalio unataka mimi na mama tufanye kazi ww ule tu upate nguvu ya kwenda kupiga stori na masela wako?
Kwani huko stoo hakuna unga,dagaa,mchele,mafuta ya kula?
Gesi na mkaa hakuna au maji hakuna?
Si mnaweza kupika na mkala?
Au mnataka tunavyovifungia kwenye friji tu?
Unapenda mayonaizi,samaki na nyama eeh?
Nenda kafanye kazi au nenda Mombasa ukale utakacho bure.
Na nitamuonesha Maza uzi wako wakingese.!