Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

Mama yangu na kaka yangu ni wachoyo sana, wanafunga friji wafanyakazi wasile, lakini ni washika dini sana

Sasa dogo unalalamika nini tunafunga kwa ajili yako ukajiongeze kufanya kazi na kupata/kununua utakacho.
Ww umelegeza makalio unataka mimi na mama tufanye kazi ww ule tu upate nguvu ya kwenda kupiga stori na masela wako?
Kwani huko stoo hakuna unga,dagaa,mchele,mafuta ya kula?
Gesi na mkaa hakuna au maji hakuna?
Si mnaweza kupika na mkala?
Au mnataka tunavyovifungia kwenye friji tu?
Unapenda mayonaizi,samaki na nyama eeh?
Nenda kafanye kazi au nenda Mombasa ukale utakacho bure.
Na nitamuonesha Maza uzi wako wakingese.!
Kwa jinsi alivyomtambulisha mama kwamba anafanyakazi UNESCO, mlokole, anakaa na kaka wa kwanza na anafunga friji lazima ajulikane tuu, mleta Mada uelewa wake mdogo sana.
 
Kwa jinsi alivyomtambulisha mama kwamba anafanyakazi UNESCO, mlokole, anakaa na kaka wa kwanza na anafunga friji lazima ajulikane tuu, mleta Mada uelewa wake mdogo sana.
Wewe waSema.
Nimefanya hivyo makusudi ili wabadilike maana iwe isiwe ujumbe utawafikia tu
 
Nje ya mada.

Hivi Mwanamke/ Binti akiwa mchoyo sana wa chakula baadae akiolewa anaweza kubadilika?
Hawezi ,,,, maana umri unavyoongezeka na dozi ya uchoyo nayo huongezeka
 
Back
Top Bottom