Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Roho yangu binafsi inaniuma sana kuona kuna baadhi ya watu wanahujumu huu mradi wa SGR, tena wengine ni mafundi au wanahusika kwa namna moja ama nyingine.
Opinion yangu; Mh Raisi na waziri wa ulinzi tengeneza taskforce kali sana, zitungiwe sheria ndogo maalumu kwa ajiri ya kulinda huu mradi uliyopoteza hela nyingi sana. Chukuwa vijana wa JKT wapo wengi tu huko kwenye makambi yao then wasambaze kwenye mradi huu wote.
Naamini, mkiweka hii task force basi kila kitu kitakaa sawa hata kama sio asilimia 100.
Leo wakati naingia ofisini kwangu hapa buguruni kwenye daraja la juu ilikuwa inapita treni ya umeme iliyotoka nadhani Dodoma au Morogoro, na chini ilikuwa hii ya dizeli.
Alooooooo, ni vitu viwili tofauti jamani, tusirudi kwenye dizeli tuweke mkazo kwenye umeme ndio tutaiona hii nchi inafanikiwa kwenye huu mradi.
Najua mwandiko wangu ni mbaya sana ila naamini mmesoma na mtafanyia kazi.
Kazi iendeleee.
Nawasilisha.