Mamba asingewekwa kwenye kundi la Super Predator hastaili kabisa

Fuatilia. Jaguar anawinda mamba mtoni na anamfuata huko huko ndani.
 
miaka ya nyuma kulikuwa home na jogoo ukienda kulifungulia lazima upate kipondo hadi unaingia ndani kujifungia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha nyumbani tuliwahi kuwa na Jogoo lilikuwa linakimbiza watoto...

Mdogo wangu wa mwisho hakuna rangi hakuona[emoji1787][emoji1787]
 
Upo sahihi, viumbe vya Africa vyote vimevurugwa, kuna kuku ana vifaranga Leo kanirukia aniparue bila kosa lolote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna moja simba aliuliwa na mamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na wakamla aisé kumbe mamba abagui achagui atayemzika hamjui
 
Itakuwa ni simba jike huyo mkuu, dume huwa hagusiki aisee. Anaweza kuwafanya mamba wote mtoni waonekane mijusi mbele yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…