Mamba asingewekwa kwenye kundi la Super Predator hastaili kabisa

Aiseee MAMBA ni soo akiwa kwa maji, akiwa humo hadi chuwi analiwa vizuri tuu kama unabisha sema nikuletee video
 
Na stress za mifumuko ya bei
 
Nilikuwa nasafiri kule kwenye Mto Zambezi. Jioni,usiku,nikaenda kunawa miguu mtoni. Niliporudi nikawaeleza wenzangu nimetoka kunawa miguu. Wanasema kwa nini na sisi tusiende kunawa. Mwenyeji wa kule akasema:"Don't go---- crocodile!"
Yule rafiki yangu akasema,hapana, lakini mimi naenda kunawa. Nikamwambia huwezi kwenda,kama huyu anasema,"crocodile",Ina maana huwezi kwenda.
Halafu nikamwambia yule rafiki yangu anipe coke. Akasema,ajabu sana,Sasa hivi nilikuuliza unataka coke,ukasema "hapana". Nikamwambia ndiyo nilisema "hapana", lakini baada ya huyu mtu kusema "crocodile" nahitaji coke kutuliza nerves zangu.
 
mamba wa bongo ni balaaa...
 
Haswa wale Mamba wa Uyebusi🤣🤣
 
Acha ushabiki mandazi. Simba hamuwezi mamba.

Simba wanaweza tu mamba kama wako wengi zaidi ya 2 tena madume na pili awe mbali na maji.

Kwenye maji mamba hana mpinzani isipokua Kiboko tu.

hata huko nchi kavu haiwezekani.

mamba anakomaa kufikia hatua ngozi haiingii jino wala kucha ya simba.
 

paka kwa asili ni viumbe wenye tahadhari sana.

simba anajua moto wa kuugusa na hasara zake,sio mpuuzi namna hiyo.

hawezi vula maji na anajua kuna mamba,labda bahati mbaya tu itokee.
 

kuna gape kubwa sana kati ya paka wa 1,2------3.
huyo jaguar ni paka mdogo kama wenzie waliobaki,asikutishe na mkwara wake wa kubeba vibenten vya mamba.

anafikisha mpaka kilo 90 top,ila mamba kuua kilo 800 ni jambo la kawaida,huo uzito hata simba hafiki.

ukiacha na strike force,ana ngozi ngumu mno,ambayo sio simba wala jaguar anaweza kuichana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…