Mamba asingewekwa kwenye kundi la Super Predator hastaili kabisa

Hahaa linakuapa dozi au sio ?
lilikuwa linapiga hadi watoto wa majirani lawama zilivyozidi mzee akalichinja yani sisi tukiwa wadogo tulikula maini tu maana nyama ilikomaa hata wakubwa kutafuna ilikuwa ni kazi. ingekuwa wakati wangu huu ile mbegu ningeitumia sana maana lilikuwa giant haswa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti ni bora akale hata mapera
 
Mamba ambae huwa anawawinda hao predator na pia Kuwatafuna.....Kuna some case hasa wale salt water Crocodile ambao huwaua Hadi Papa a.k.a Great White Shark huko Australia

Mimi nilidhani Uzi ulitaka apandishwe daraja yaani more than Predator
 
Ungejua simba jike ndiye mwenye nguvu kuliko dume usingebwabwaja hapa, usipagawe na manyoya.
Ww kweli kilaza yaan simba jike ana nguvu kuliko dume!!! Acha kubwabwaja fiche huu ujinga.

Kazi ya simba dude ni kulinda mipaka na jike kutafuta chakula,, wakiwa wanawinda wanyama wakubwa kama twiga, tembo, nyati dume husaidia kwann hao majike wasifanye wenyewe?

Futa hiyo comment
 
Ungejua simba jike ndiye mwenye nguvu kuliko dume usingebwabwaja hapa, usipagawe na manyoya.
Huyo simba jike akiwa peke yake akikutana na fisi wa 3 au 4 wanamgeuza msosi na kama amewinda wana mnyang'anya msosi.... ila hao fisi hata wawe ukoo mzima wakimuona King wanatawanyika vibaya sana maana wanamjua anawavunjaga viuno alafu anawaacha Wakafie mbele
 
Toa mamba hapo, mamba ni mdebwedo tu kama mijusi wengine
 
Taga na wewe tukupande
 
hata huko nchi kavu haiwezekani.

mamba anakomaa kufikia hatua ngozi haiingii jino wala kucha ya simba.
Niliona pia Anaconda anakula mamba vizuri tu,tena lile dude aise halichagui awe mamba au kiboko linachukua popote pale hata nchi kavu au majini..japo likishiba halina ujanja.
 
Unataka kuniambia kiboko ni balaa.? Mbona anaonekana mlegevu? Laini laini kama kubwa jinga MutuZ
Mamba anamuogopa kiboko balaa,,yupe mpole lakini ukimchokoza ni hatari japo niliwahi ona video kadhaa Anakonda anakula kiboko mkubwa na mamba mkubwa tena walipomuona tu wakaanza kuogopa.
 
Ongeza na Nyegere huyo nae mbishi sana haogopi kitu labda wale wanaoishi majini.
 
Upo sahihi, viumbe vya Africa vyote vimevurugwa, kuna kuku ana vifaranga Leo kanirukia aniparue bila kosa lolote.
Watu mnachekesha sanaaa hahaha hauna kosa kakuparua, kavurugwa tuu
 
Kuna mwamba anaitwa jaguar, anafuata mamba kumayi na kumburuta
Si mamba huyo ni vile vi alligators, kwa macho yangu nilimuona mamba wamemuua pale ziwa Victoria, aisee mamba kabebwa kwenye zile landcruiser mkonge, wamemuweka kimshazali lakini kia loote liko chini kudadeki
 
Nasikia Wachina walimaliza mamba wa wami pale kwa kitoweo. Au huenda walikuwa mamber.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…