Mamba asingewekwa kwenye kundi la Super Predator hastaili kabisa

Hata Chatu, Cobra na Black Mamba wanataga.
 
Kuna sehemu nimesoma, kuna mamba ana 750kg. Hapo hata uungane ukoo wa simba wote hawawezi fua dafu wakimkuta majini
 
Mamba wa afrika anafika tani 1
 
Aaisee asimwambie mutuu kuna uhuni alifanyiwa Kiboko mmoja ambaye katika misele yake nyikani akakutana na Simba. Kile alichofanyiwa ni kitendo ovu cha kukemea kwa nguvu zote.
 
Mamba wako huyo hapo anatoka nduki baada ya kukumbana na dubwasha lisilotishiwa nyau.
 

Attachments

  • images (48).jpeg
    23.5 KB · Views: 5
Wamejaa tele, mamba Hana ubabe wowote NDIO maana analiwa
Mamba na utemi wake wote majini anapomuona mfalme anakatiza kwenye maji lazima atoke nduki
 

Attachments

  • images (48).jpeg
    23.5 KB · Views: 6
Mkuu Acha kumdharau mamba,Mamba NI mmoja wa wanyama wenye biting force kubwa ndo maana akishika kiungo cha mnyama kukinyofoa ni dk sifuri tu
 
Kwa uzoefu wangu,
Mamba nchi kavu anakimbizwa kama kenge tu
Ila majini linakua swala lingine kabisa,

Simba hasa simba dume ni kweli mfalme wa nyika
Lakin kuna wahuni wanamkalisha, mfano kwenye kundi la mbogo. Hapo simba atatia mikwala tu
Kwa faru, au tembo. Simba hawezi kutia pua yake

Mamba ni mtata ndio lakini hana ujasiri ambao simba anao.

Kuna kipindi nipo vijiji vya mikumi pale, muungurumo wa simba unaweza sema huyu bwege hayupo mbali.
Wazoefu wanakuambia huyo yupo mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…