Mambo 10 muhimu ya kuzungumza kabla ya ndoa ili kuepuka maumivu baadae

Mambo 10 muhimu ya kuzungumza kabla ya ndoa ili kuepuka maumivu baadae

Watu hubadilika, anakua malaika kabla ya ndoa na shetani mweusi baada ya ndoa.
 
Uliyaongea yanaweza kufanya kazi zaidi kwa wazungu, kwa sababu wapo honest. Sio hawa dada zetu ambao wanaficha past na character zao wakiwa wanataka ndoa.

Bed to bed midfielder akiwa kwenye mawindo ya ndoa unafikiri anaweza kukwambia idadi ya abortions alizofanya?

Kibongo bongo ukiwa hapo kwenye kipindi cha courtship usijadiliane na mwanamke kuhusu hayo masuala wewe nenda nae tu huku ukiwa unamfanyia udadisi kimya kimya kama anatiki kwenye vigezo vyako vya muhimu.

Na hili kufanikisha kujua zaidi kuhusu past yake, mitazamo yake, fantasy zake n.k jifanye bad boy hata kama sio. Women are more open and honest to bad boys than intentional men.
😁😁 Midfielders
unaangaika kuzungumza na mwanamke wakati hukumkuta BIKRA
 
Back
Top Bottom