Mambo 10 Niliyoyabaini kwa Beki Hernest Malonga Anayetarajiwa Kujiunga na Simba Kumrithi Msaliti Mohamed Hussein Tshabalala

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
1. Hernest Malonga anajua boli kumshinda Mohamed Hussein Tsshabalala
2.Hernest Malonga anacheza beki wa kushoto, anacheza winga wa kulia anacheza winga wa kushoto
3.Hernest Malonga anajua kukaba kuliko Tshabalala
4.Hernest Malonga alimfunga Diara refa akakataa goli kule Mkwakwani
5.Hernest Malonga alimfunga Pin Pin Camara goli tamu sana
6.Hernest Malonga anafanana sana kiuchezaji na Twaha Hamidu Noriega
7.Hernest Malonga anafanana sana kiuchezaji na Alphonce Modest
8.Hernest Malonga anafanana sana kiuchezaji na Deo Mkuki
9.Simba isimjaribu Hernest Malonga, niko tayari kumdhamini
10.Hernest Malonga kwa uchezaji wake nna uhakika Jonathan Sowah anaweka kambani sio chini ya goli 20, huyu dogo namwekea dhamana.
 
😀😀Duu huu ufagio kiboko...Au wewe ndiyo Malonga mwenyewe?.
 
Ila udhaifu wake inabidi akipata mbele pawe na mtu wa kumsaidia Huku nyuma huwa anajisahau sana
 
Ahmed Ali ameharibu sana mashabiki wa Simba. Mpira ni mchezo wa wazi sana hebu iacheni miguu ya Malonga iongee yenyewe uwanjani watu tujue Malonga ni mali au malimbovu. Baada ya mechi tano tu kila kitu kitakuwa wazi kabisa.

Kama kuna kosa la kiufundi Simba walifanya kwenye usajili wa mwaka huu ni kushindwa kumbakisha beki mmoja wa pembeni kushoto kati ya Zimbwe au Nouma. Usajili wowote ni kamari hata mchezaji awe mzuri kiasi gani. Ikitokea Malonga au Mligo wote wamechemsha itabidi Simba isubiri mpaka dirisha dogo kurekebisha na mbaya zaidi wakati wa dirisha dogo kupata mchezaji mzuri huwa kazi sana.
 
Yuko wapi saivi?
images (4).jpeg

Hii timu aliyopo sasa kwa akili yako mbovu unaona amepotea?!
 
Back
Top Bottom