Mambo 10 Niliyoyabaini kwa Beki Hernest Malonga Anayetarajiwa Kujiunga na Simba Kumrithi Msaliti Mohamed Hussein Tshabalala

Mambo 10 Niliyoyabaini kwa Beki Hernest Malonga Anayetarajiwa Kujiunga na Simba Kumrithi Msaliti Mohamed Hussein Tshabalala

1. Hernest Malonga anajua boli kumshinda Mohamed Hussein Tsshabalala
2.Hernest Malonga anacheza beki wa kushoto, anacheza winga wa kulia anacheza winga wa kushoto
3.Hernest Malonga anajua kukaba kuliko Tshabalala
4.Hernest Malonga alimfunga Diara refa akakataa goli kule Mkwakwani
5.Hernest Malonga alimfunga Pin Pin Camara goli tamu sana
6.Hernest Malonga anafanana sana kiuchezaji na Twaha Hamidu Noriega
7.Hernest Malonga anafanana sana kiuchezaji na Alphonce Modest
8.Hernest Malonga anafanana sana kiuchezaji na Deo Mkuki
9.Simba isimjaribu Hernest Malonga, niko tayari kumdhamini
10.Hernest Malonga kwa uchezaji wake nna uhakika Jonathan Sowah anaweka kambani sio chini ya goli 20, huyu dogo namwekea dhamana.
🤣🤣🚮
 
Leta mambo kumi (10) ya Nabby Camara sasa maana usajili wa Malonga naona kama vile umeyeyuka kama ilivyokuwa jwa Miraji Abdalah Zambo
 
Back
Top Bottom