Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
😀😀Duu huu ufagio kiboko...Au wewe ndiyo Malonga mwenyewe?.1. Hernest Malonga anajua boli kumshinda Mohamed Hussein Tsshabalala
2.Hernest Malonga anacheza beki wa kushoto, anacheza winga wa kulia anacheza winga wa kushoto
3.Hernest Malonga anajua kukaba kuliko Tshabalala
4.Hernest Malonga alimfunga Diara refa akakataa goli kule Mkwakwani
5.Hernest Malonga alimfunga Pin Pin Camara goli tamu sana
6.Hernest Malonga anafanana sana kiuchezaji na Twaha Hamidu Noriega
7.Hernest Malonga anafanana sana kiuchezaji na Alphonce Modest
8.Hernest Malonga anafanana sana kiuchezaji na Deo Mkuki
9.Simba isimjaribu Hernest Malonga, niko tayari kumdhamini
10.Hernest Malonga kwa uchezaji wake nna uhakika Jonathan Sowah anaweka kambani sio chini ya goli 20, huyu dogo namwekea dhamana.
Onana mchezaji mbaya?, unajua boli kweli?.Hata Onana aliposajiliwa tuliaminishwa ni bora kuliko Lui Jose. Lakini wote tulishuhudia
BTW. Hebu jaribuni kuwa na akili unamuitaje mchezaji msaliti kisa kajiunga timu pinzani? Acheni ushamba
Kama ni mzuri yuko wapiOnana mchezaji mbaya?, unajua boli kweli?.
Yuko wapi saivi?Onana mchezaji mbaya?, unajua boli kweli?.
Hahaha 🤣Mungu ibariki Simba Sports Club
AminaaaMungu ibariki Simba Sports Club
Yuko wapi saivi?
Huna akili wewe. Kwahiyo akiwa timu nzuri ndio mxhezaji mzuri? Angalia alivyokuja na alivyoondoka ndio mantiki ya hoja yangu upupu wewe.View attachment 3438929
Hii timu aliyopo sasa kwa akili yako mbovu unaona amepotea?!
Kenge mavi wewe...Kuna timu nzuri inapokea ama kusajili vilaza ? Acha chuki na roho mbaya kwa mwanaume mwenzako shenziHuna akili wewe. Kwahiyo akiwa timu nzuri ndio mxhezaji mzuri? Angalia alivyokuja na alivyoondoka ndio mantiki ya hoja yangu upupu wewe.
We kipwinto naona unabishana kushindana. Kalale mbeleKenge mavi wewe...Kuna timu nzuri inapokea ama kusajili vilaza ? Acha chuki na roho mbaya kwa mwanaume mwenzako shenzi