Mambo 10 Niliyoyaona Leo Simba ikiadhibiwa tena na Yanga mara ya Nne Mfululizo

Ujinga mwingi sana humu.
 
Wachezaji wa simba wabinafsi sana sijui kocha halioni hlo kwasababu hata ile mechi ya ngao ya jamii wangeacha uchoyo wangeshinda labda kocha anaridhishwa na ubinafsi wa baadhi ya wachezaji wa simba.
 
kocha wa bei rahisi? Unataka kuniambia angekuwa gamondi angemgeuza mutale awe pacome? Kibu awe max? Kapombe awe yao yao si ndio au?
 
Simba inawachezaji 25 ulitaka wacheze wangapi Leo?. Na nani akae benchi?.

Team imeanza na wachezaji 8 wapya lkn Bado mnapiga kelele. Yanga wameanza na wachezaji 3 wapya huoni utofauti hapo wa muunganiko wa team?. Acheni Kocha ajenge kikosi January mpanzu atacheza na tutafute mbadala wa kibu.
 
Endeleeni kuamini ushirikina,,

Mtashtuka mkipigwa mechi 10 mfululizo,,

Mzize , Chama, Musonda, Mwamnyeto, Abuya wote walianzia benchi na wote ni wachezaj wa timu za Taifa.

Timu gani nyingine imewah weka benchi wachezaj watano wa timu za Taifa?
Inategemea ni taifa gani. Mzinze naye utajivunia kuwa mchezaji wa timu ya taifa?
 
mm ni shabiki wa simba , kiukweli simba hatuna kundi kubwa LA quality ya wachezaji ukilinganisha na yanga . pia kuna haja ya kutumia VAR kwenye ligi yetu ule Mpira ingawa golikipa aliurejesha ulikuwa nje
 
Kichapo kinaharibu akili
 
Nje ya uwanja nje ya uwanja
Nyie nje ya uwanja hamkushughulika?
Yanga ni Bora Zaid yenu
Hata hivyo mmejitahid Sana
Goli la bahati bahati lile
 
Nje ya uwanja nje ya uwanja
Nyie nje ya uwanja hamkushughulika?
Yanga ni Bora Zaid yenu
Hata hivyo mmejitahid Sana
Goli la bahati bahati lile

Walilipia . Goli limelipiwa hilo….hela zitanenepesha wachezaji wa simba nyama nono ya nundu 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…