prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Mimi nashukuru wizara ya elimu mmeniletea vitabu vipya vya computer science zaidi ya 160...
Mungu awabariki....
Ovaaaaa
Mungu awabariki....
Ovaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu ni bure kuanzia primary mpaka advance bossWewe jamaa ni mwongo sana sisi tumepeleka watoto Kishoju secondary Muleba tumelipishwa ada.wewe uko nchi gani?nenda hiyo shule ukaulize kama wazazi hawajalipa ada.acha siasa za mitandaoni tena wengine walirudishwa kwa kukosa ada halafu wewe unadanganya watu.fanya tafiti kabla ya kukurupuka bwashee
kaulimbiu yetu ni elimu bora kwa ila mtanzania tena elimu bureMimi nashukuru wizara ya elimu mmeniletea vitabu vipya vya computer science zaidi ya 160...
Mungu awabariki....
Ovaaaaa
Hizi figures umeziokota wapi? Tuthibitishie.Tangu alipoingia madarakani juhudi za Rais Samia Suluhu katika kuboresha huduma kama vile Elimu, Afya na upatikanaji wa Maji safi na salama ni vipaumbele vilivyo wazi.
Baadhi ya jitihada muhimu zilizofanyika ndani ya muda mfupi katika sekta ya Elimu ni pamoja na;
1. Ujenzi wa Shule mpya za sekondari na shule ya msingi zipatazo 266.
2. Ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa ya shule za msingi, vituo shikizi, na shule za sekondari vipatavyo 18,219.
3. Ukamilishaji wa ujenzi wa vyumba vya madarasa shule za msingi na sekondari vipatavyo 4,525.
4. Ukamilishaji ujenzi wa vyumba vya maabara vipatavyo 1,399.
5. Ujenzi wa matundu ya vyoo kwa shule za msingi na sekondari yapatayo 568.
6. Ujenzi wa mabweni kwa shule za msingi na sekondari yapatayo 170.
7. Ujenzi wa nyumba za walimu wa shule za msingi na sekondari zipatazo 42.
8. Kutolewa ajira za walimu wapatao 9800 wa kada tofauti tofauti.
9. Watumishi katika wizara ya Elimu kwa maana ya walimu, waratibu wa Elimu na Maafisa Elimu kulipwa malimbikizo na madai yao yote yaliyohakikiwa.
10. Kutolewa fedha za Mikopo ya Elimu ya juu na kuondolewa kwa tozo ya VRF kiasi cha asilimia 6 kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo.
Rais Samia Suluhu anachapa kazi na anastahili pongezi za dhati kutoka kwa watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi hii. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU MMBARIKI RAIS WETU

Ni maendeleo kama umezoea kewnda kichakaniWengine wanaenda sayari za juu hapa kwetu wakereketwa wanahesabu ujenzi wa matundu ya choo kama maendeleo ya kujivunia.
Nilikuwa nafuatilia kujua huyu mtoa mada ana uelewa wa namna gani, kwa mawazo haya baaaasi! Hapa ndipo ujinga wako ulipoonekana, Ama kweli pembe halifichiki.Mkuu nenda Rwanda kama unaona Tanzania imechelewa sana. Tazama ukubwa wa eneo analoongoza Kagame halafu linganisha na la Tanzania analoliongoza Samia, vitu viwili tofauti.
Rwanda kwa eneo inaweza kuwa ndogo kulinganisha na mkoa wa Kagera peke yake hapo hujaweka mikoa ya kanda ya ziwa kwa pamoja.
Ahahahahah! Nimecheka sana.eti matundu ya choo bdo tunaangaika nayo tu.Wengine wanaenda sayari za juu hapa kwetu wakereketwa wanahesabu ujenzi wa matundu ya choo kama maendeleo ya kujivunia.
Umesahau program za boost na heet,Vyuo vya Veta,Samia Scholarship,kufuta ada ya form six,na kubwa zaidi kisukwa upya kwa mtaala wa Kufundishia..na mambo mengine mengi.Tangu alipoingia madarakani juhudi za Rais Samia Suluhu katika kuboresha huduma kama vile Elimu, Afya na upatikanaji wa Maji safi na salama ni vipaumbele vilivyo wazi.
Baadhi ya jitihada muhimu zilizofanyika ndani ya muda mfupi katika sekta ya Elimu ni pamoja na;
1. Ujenzi wa Shule mpya za sekondari na shule ya msingi zipatazo 266.
2. Ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa ya shule za msingi, vituo shikizi, na shule za sekondari vipatavyo 18,219.
3. Ukamilishaji wa ujenzi wa vyumba vya madarasa shule za msingi na sekondari vipatavyo 4,525.
4. Ukamilishaji ujenzi wa vyumba vya maabara vipatavyo 1,399.
5. Ujenzi wa matundu ya vyoo kwa shule za msingi na sekondari yapatayo 568.
6. Ujenzi wa mabweni kwa shule za msingi na sekondari yapatayo 170.
7. Ujenzi wa nyumba za walimu wa shule za msingi na sekondari zipatazo 42.
8. Kutolewa ajira za walimu wapatao 9800 wa kada tofauti tofauti.
9. Watumishi katika wizara ya Elimu kwa maana ya walimu, waratibu wa Elimu na Maafisa Elimu kulipwa malimbikizo na madai yao yote yaliyohakikiwa.
10. Kutolewa fedha za Mikopo ya Elimu ya juu na kuondolewa kwa tozo ya VRF kiasi cha asilimia 6 kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo.
Rais Samia Suluhu anachapa kazi na anastahili pongezi za dhati kutoka kwa watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi hii. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU MMBARIKI RAIS WETU
Weka kejeli uwezavyo lakini kuiongoza Rwanda huwezi kulinganisha na kuiongoza TZ. Hii nchi ni kubwa na achana na nadharia za mitandaoni tazama mambo kiuhalisia utautambua ukubwa wa Tanzania.Nilikuwa nafuatilia kujua huyu mtoa mada ana uelewa wa namna gani, kwa mawazo haya baaaasi! Hapa ndipo ujinga wako ulipoonekana, Ama kweli pembe halifichiki.
Kwa hiyo nchi ikiwa kubwa Sana itachelewa au itawahi kupata maendeleo?
TWAWEZA waje wakuchukue akawe sampuli ya tafiti zao.
Kwasababi mimi ni "Mtoto wa Shule" na mambo ya kishuleshule yananihusu sana tu, ngoja nikae kimya kesho niwahi kiti nisije kaa chini mie!!Tangu alipoingia madarakani juhudi za Rais Samia Suluhu katika kuboresha huduma kama vile Elimu, Afya na upatikanaji wa Maji safi na salama ni vipaumbele vilivyo wazi.
Baadhi ya jitihada muhimu zilizofanyika ndani ya muda mfupi katika sekta ya Elimu ni pamoja na;
1. Ujenzi wa Shule mpya za sekondari na shule ya msingi zipatazo 266.
2. Ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa ya shule za msingi, vituo shikizi, na shule za sekondari vipatavyo 18,219.
3. Ukamilishaji wa ujenzi wa vyumba vya madarasa shule za msingi na sekondari vipatavyo 4,525.
4. Ukamilishaji ujenzi wa vyumba vya maabara vipatavyo 1,399.
5. Ujenzi wa matundu ya vyoo kwa shule za msingi na sekondari yapatayo 568.
6. Ujenzi wa mabweni kwa shule za msingi na sekondari yapatayo 170.
7. Ujenzi wa nyumba za walimu wa shule za msingi na sekondari zipatazo 42.
8. Kutolewa ajira za walimu wapatao 9800 wa kada tofauti tofauti.
9. Watumishi katika wizara ya Elimu kwa maana ya walimu, waratibu wa Elimu na Maafisa Elimu kulipwa malimbikizo na madai yao yote yaliyohakikiwa.
10. Kutolewa fedha za Mikopo ya Elimu ya juu na kuondolewa kwa tozo ya VRF kiasi cha asilimia 6 kwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo.
Rais Samia Suluhu anachapa kazi na anastahili pongezi za dhati kutoka kwa watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi hii. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU MMBARIKI RAIS WETU
Chanjo za watoto hazipatikani kirahisi!!Serikali ya awamu ya sita imefanya maendeleo mengi sana ukiachana na hili la Elimu unaweza ukaangalia katika sekta ya afya saizi hospital mpaka vijijini huduma ya mama na mtoto imeboleshwa pia gharama ya kilimo imepungua
Mashamba KWA teknolojia gani ya umwagiliaji!!Serikali ya awamu ya sita inamtengenezea mwanafunzi au kijana mazingira ya kujiajiri endapo asipoajiriwa inagawa mashamba kwa vijana ili vijana wajiajiri katika kilimo pia imejenga vyuo vya veta mikoa yote Tanzania ili wahitimu wa ufundi waweze kupata uwezo wa kujiajiri na kuajiriwa kwaiyo mikakati ya ajira mingi sana
KabisaCCM nzima hamna mwenye akili ya kuwaza kama ulivyowaza.
Acha kuendelea kujiweka uchi, jibu swali.Weka kejeli uwezavyo lakini kuiongoza Rwanda huwezi kulinganisha na kuiongoza TZ. Hii nchi ni kubwa na achana na nadharia za mitandaoni tazama mambo kiuhalisia utautambua ukubwa wa Tanzania.
Rwanda ni kanchi kadogo sana, Kagame anafanya anavyotaka. Leta mbwembwe nyingi kama kawaida ya watanzania na mbwembwe zao za maandishi lakini ukweli ndio huo.
Mkuu kama eneo ni KUBWA hata rasilimali ni nyingi pia!!!Weka kejeli uwezavyo lakini kuiongoza Rwanda huwezi kulinganisha na kuiongoza TZ. Hii nchi ni kubwa na achana na nadharia za mitandaoni tazama mambo kiuhalisia utautambua ukubwa wa Tanzania.