Mambo 10 yaliyofanyika katika Wizara ya Elimu ndani ya muda mfupi

Mimi nashukuru wizara ya elimu mmeniletea vitabu vipya vya computer science zaidi ya 160...
Mungu awabariki....
Ovaaaaa
 
Elimu ni bure kuanzia primary mpaka advance boss
 
Bado sana wizara haina ubunifu wa kutosha na kila siku tunazalisha wasomi wengi lakin hawana maarifa zaid ya vyeti jamani mungu aliumba akili hakuumba Elimu nadhan ni wakati serikali ijitafakari Na kuangalia mfumo wa Elimu
1.Tuna wasomi wengi waliomaliza tunashindwa vipi kuomba nchi zilizoendelea hata vijana wetu wakaenda kujitolea sehemu mbali mbali kma sehemu ya kutanua maarifa na uelewa
2. Kuna watu hawajasoma na wanaujuzi mbali mbali serikali iwachukue wakaongeze ujuzi na ubora
3. Tuwekeze kwenye mapinduzi ya Elimu ya kilimo ndio yanaleta maendeleo ya kila kitu mfano industry revolution haikuja tu bali msingi wake ulianzia chin
Nadhan ni wakati wa kama taifa kuwa na dira na sio kila raisi aje na dira yake na vyombo vya usalama wa nchi visijikite kwenye ukachero wa watu tu pawe na economy agents watafute masoko,uwekezaji fursa mbali mbali
 
Hizi figures umeziokota wapi? Tuthibitishie.
 
Hizi figures umeziokota wapi? Tuthibitishie.
Wengine wanaenda sayari za juu hapa kwetu wakereketwa wanahesabu ujenzi wa matundu ya choo kama maendeleo ya kujivunia.
Ni maendeleo kama umezoea kewnda kichakani
 
Tupunguze kusifia watanzania hizo data wewe umepewa na Nani au umetoa wapi . Naomba kuona kanzidata ili nijifunze zaidi
 
Hivo vitu vinavyojengwa ! Vinajengwa Nchi gani ? Mbona hapa Tanzania vitu hivyo havipo ? Au labda mmeongeza tarakimu 3 mbele ? Kama ni shule 4 mmesema shule 4567

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa nafuatilia kujua huyu mtoa mada ana uelewa wa namna gani, kwa mawazo haya baaaasi! Hapa ndipo ujinga wako ulipoonekana, Ama kweli pembe halifichiki.

Kwa hiyo nchi ikiwa kubwa Sana itachelewa au itawahi kupata maendeleo?

TWAWEZA waje wakuchukue akawe sampuli ya tafiti zao.
 
Umesahau program za boost na heet,Vyuo vya Veta,Samia Scholarship,kufuta ada ya form six,na kubwa zaidi kisukwa upya kwa mtaala wa Kufundishia..na mambo mengine mengi.
 
Weka kejeli uwezavyo lakini kuiongoza Rwanda huwezi kulinganisha na kuiongoza TZ. Hii nchi ni kubwa na achana na nadharia za mitandaoni tazama mambo kiuhalisia utautambua ukubwa wa Tanzania.

Rwanda ni kanchi kadogo sana, Kagame anafanya anavyotaka. Leta mbwembwe nyingi kama kawaida ya watanzania na mbwembwe zao za maandishi lakini ukweli ndio huo.
 
Kwasababi mimi ni "Mtoto wa Shule" na mambo ya kishuleshule yananihusu sana tu, ngoja nikae kimya kesho niwahi kiti nisije kaa chini mie!!
 
Serikali ya awamu ya sita imefanya maendeleo mengi sana ukiachana na hili la Elimu unaweza ukaangalia katika sekta ya afya saizi hospital mpaka vijijini huduma ya mama na mtoto imeboleshwa pia gharama ya kilimo imepungua
Chanjo za watoto hazipatikani kirahisi!!
Unasemaje Wewe!!?

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba mpya"
 
Mashamba KWA teknolojia gani ya umwagiliaji!!

Mtu graduate wa sociology au Md una mpa shamba alone bila mtaji wowote wala uzoefu wala elimu bya kilimo unategemea nini mkuu!!?Acha uongo mkuu!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba Mpya"!
 
Acha kuendelea kujiweka uchi, jibu swali.
"Je nchi ikiwa kubwa itawahi au itachelewa kupata maendeleo?"

Na Vipi kuhusu, china, A/kusini, Algeria, Marekani, Misri, nk?
 
Mkuu kama eneo ni KUBWA hata rasilimali ni nyingi pia!!!
Kinachohitajika ni Brain KUBWA tu wala sio mbwembwe!!

Madini yote hayo,milima yote Hiyo,Mbuga zote hizo na n,k

Halafu utoe sababu zote hizo duni!!?

Nyerere angesikia huyu kijana alieweka mikono kichwani mwake enzi hizo akiwa mdogo leo analopoka vitu kama hivi angetamani siku ile akuzabe vibao!!

Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba mpya!
 
Hayo unayo taja mbona ni ya JPM.

Yeye achukue na yeye mzigo wake 1 tu. Kama JPM -UMEME nchi nzima Tshs 27,000. Yeye achukue kitu rahisi kuliko vyote. Maji Nchi Nzima kwa Tshs 100,000 tu. Porojo hapana!! Kuiga kwa wenzie, hapana aiseee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…