Mambo 10 yaliyopo Ulaya, hasa hasa Sweden, pengine kwako ni mageni, na ungependa kuyafahamu

Kwa hiyo mkuu, kifupi tu kuwa tunaishi ujima si ndio? Toka juzi tar.18 hakuna maji, I can imagine mtu una yale mnaita dyaba, moja au mawili tu...huku ndio tunasema kuishi kama mashetani.

Lakini kiukweli wenzetu sijui kwa nini wameweza sisi tupo hapa tulipo. Kuna nchi nilikuwa naona fine za barabara mtu anapigwa 200usd kwa kuendesha akiwa na kilevi kichwani, wenzetu mbona wako so strict, sisi tunashindwaje????
 
Well said Mkuu.
 
Uraia siyo muhimu sana kwa mtu ambaye hataki kudumaa sehemu moja, kitu muhimu ni kibali cha ukazi.

Kuna mwanangu mmoja yupo Swiss, yeye ameowa na ana kibali cha kuishi lakini uraia wanataka akae miaka mitano mfululizo bila kuondoka Swiss, hilo sharti limemshinda maana lazima aje Bongo na amefanya mambo mazuri kwa future yake, kiasi kwamba uraia ingekuwa ndio kipaumbele chake asingefanya la maana Bongo.

Maana Wabongo ukiwategemea kuwatumia pesa wakufanyie mambo yako unaweza siku ukaja kulia na ukafa kwa pressure hutoamini usanii uliofanyiwa.
 
Well said Mkuu. Niliteleza kidogo. Nilitakiwa kusema Ukazi (Residence permit) na siyo Uraia (Citizenship/Permanent residence).
 
Red light district (RLD), Amsterdam hiyo na miji mingine mingi ya Ulaya. Yaani unapita unachagua chombo kama imekuvutia. Unatimba ghetoni kwake. Huku nyuma anarudishia pazia kuziba vile vioo kuonyesha yuko engaged, unatoa Uero 30 kwa dakika 20 mchezo umeisha ha ha ha ha ha. Naikumbuka sana RLD za Ghent, watoto kutoka Ulaya ya Mashariki na West Africa, hao bei ya kawaida sana.
 
Taarifa zangu uzipate wapi wewe mzee na hata kama unazo zitakusaidia nini? FBI wanitafute mimi kwa lipi? Nawapa ukweli, mkubali au mkatae kwa hoja lakini.
 
Sawa. Lakini ukubali kuwa wa mwisho kwenye jamii. Wazungu kwanza, Waasia wanafuata na wengineo, wewe Muafrika upo chini. Utakula, utashiba, shule bure, matibabu bure maisha yatasonga
 
Sweden ni mojawapo ya nchi nzuri sana zenye kiwango cha juu kabisa cha ustaarabu.
 
Reactions: Tui
Una maana gani wazungu kwanza,wahindi wanafuata,kwenye Nchi ipi ?
Hapa Sweden inategemea na jitihada yako.Kiongozi wa Chama cha Upinzani Liberals Sweden ni mwanamke mweusi Nyamko Sabuni.Ambaye awali alishawahi kuwa waziri kwenye serikali iliyopita.
Kuna weusi wengi kwenye post mbalimbali za juu.Ni bidii na uwezo wako tu.Ukiwa na mawazo defeats na inferiority complex kufanikiwa ni ngumu sana.
 
Taarifa zangu uzipate wapi wewe mzee na hata kama unazo zitakusaidia nini? FBI wanitafute mimi kwa lipi? Nawapa ukweli, mkubali au mkatae kwa hoja lakini.
FBI investigation walishaku-clear?
 
Mkuu, umeandika kwa uchungu sana!! Hadi nimejikuta nacheka.
Huku kwetu ni wiki sasa maji hakuna.
 
Kuna mengi watu tunayajua,isipokuwa tunauliza kwa faida ya wengine

Kama Kila kitu tugoogle au kwenda online basi hakuna haja ya uwepo wa jamii forum

Ukitaka matokeo ya mpira unaenda live score

Ukitaka updates za vitu vingi zipo applications

Lakini watu wanaamua kushare Kila jambo hapa jamvini kwa faida ya wengi
 
Mkuu vipi kuhusu wanawake wa ki sweden je wana penda Interracial relationship ?
 
Na wewe si uweke life experiences zako ulivyokuwa Ulaya? Au Ulaya unaijua kupitia JF na Youtube?
Kwani mkuu kuna ubaya gani ukishare experience jinsi ya kupiga mahera makubwa makubwa tuachane na kazi za kufagia vyoo?
 
Kwani mkuu kuna ubaya gani ukishare experience jinsi ya kupiga mahera makubwa makubwa tuachane na kazi za kufagia vyoo?
Hamna hela zaidi ya kuosha vyoo na kufagia mkuu. Maisha yakikushinda unaenda kuomba benefits. UDSM bora wangeanzisha degree program ya Janitorial Sciences kuwaanda vijana kuikabili hali ya soko la ajira Ulaya kama wakiamua kuzamia huko.
 
Nimalizie tu ya kwamba ni nchi ambayo hata ukizamia bila kibali utaingia tu, kwa sasa waarabu wengi sana wanaingia, miaka michache ijayo itakuwa chini ya waarabu na pia itakuwa ni nchi ya kiislamu.

Serikali yale inapenda sana wageni, ni swala la muda tu wazawa watakuwa wachache sana.

Ni nchi nzuri kwa wazamiaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…