ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kwa hiyo mkuu, kifupi tu kuwa tunaishi ujima si ndio? Toka juzi tar.18 hakuna maji, I can imagine mtu una yale mnaita dyaba, moja au mawili tu...huku ndio tunasema kuishi kama mashetani.
Lakini kiukweli wenzetu sijui kwa nini wameweza sisi tupo hapa tulipo. Kuna nchi nilikuwa naona fine za barabara mtu anapigwa 200usd kwa kuendesha akiwa na kilevi kichwani, wenzetu mbona wako so strict, sisi tunashindwaje????